Hamisa Mobetto ndani ya Filamu kali inayojumuisha mastaa kutoka S.Africa, Ghana, Cameroon, n.k

Anaigiza na zingine mojawapo ninayoikumbuka ni 'Crazy Love' ya marehemu Kanumba. Nyingine ameigiza na Jb DJ Ben inaitwa kama kumbukumbu zangu ziko sawa
 
Yaani watu wanashangilia filamu kwa kutumia cover!
Hamisa hana hana kipaji cha kuigiza,angeanza kung'aa bongo mavi kwanza,kama yeye ni mkali wa kuigiza.
Hizo zote ni nguvu anazotumia kushindana na zari,atafeli tu kama wema
Daaah!punguza chuki kidogo basi

Hamisa ameanza kuigiza mda mbona kuna movie yuko na Ray,kuna chausiku hii yenyewe ya last year daah!chochote anachofanya anashindana na zari !
Hivi zari anaigiza wapi!!
Muwege mna hofu na Mungu kidogo!
 
Anaigiza na zingine mojawapo ninayoikumbuka ni 'Crazy Love' ya marehemu Kanumba. Nyingine ameigiza na Jb DJ Ben inaitwa kama kumbukumbu zangu ziko sawa
Asante ngoja nitawaomba wanaojua hayo mambo wanitafutie mradi nione sura yake tena.
 
Daaah!punguza chuki kidogo basi

Hamisa ameanza kuigiza mda mbona kuna movie yuko na Ray,kuna chausiku hii yenyewe ya last year daah!chochote anachofanya anashindana na zari !
Hivi zari anaigiza wapi!!
Muwege mna hofu na Mungu kidogo!
yanii watanzania tuna roho mbayaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…