warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan Mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.
Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazungumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa Mobetto linacheza ndani ya Top 3.
Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokuwa Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa Mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .