Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa

Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nilikuja pm na swali langu, โ€œEti wewe ni Hamisa Mobetto wa ukweli kweli.โ€ Nikakuta bonge la kufuli nikasepa kimya kimya kwa minyato ili nisiwashtue wenye nyumba.,

Ukweli ukipatikana usisite kushare nami
 
Hamna kitu hapo..kutana nae live ndio utajua

Mwambie akanawe uso + aache kutumia mamikorogo
 
Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.
Acha kashfa mpwa
 
Achana na kutumika kwanza hana sifa ya urembo kiasi hiki ambacho amepaishwa

Kuna kitu kinaitwa power of makeup, kiufundi unaambiwa makeup haimkataagi mtu labda ukutane na decorater ambaye ni underdog

Sasa tuko katika zama za tecnolojia yenye masimu na mikamera yenye sensor za kutosha MP za kuzidi.

Kapigwa makeup, kajilipua picha, nayo picha kaipiga filter za kutosha inatoka hapo inapitiliza adobe inafanyiwa mixing za hatari kisha inapostiwa IG

Na ndio maana kuna mdau mmoja humu aliandika uzi akitaajabu kumuona uwoya sabasaba akiwa na sura tofauti na ile ya insta

Ukimuona live ni mweusi hizi rangi sijui wanatoa wapi kwenye camera
 
Nyie mnaomsifia Hamisa mobeto kwamba ni mrembo zaidi ya wasanii wote wa Tanzania mna akili sawa sawa?
Hamisa ana nn cha zaidi kuzidi wengine ?
Hivi mmeshamuona live?
Hizo camera tu wakuu,,
Mwanamke hamna humo,,
Single mama wa watoto 2 atakuwaje zaidi ya warembo wabichi?
Hyo ni mikogo tu,,lakini hakuna kitu humo..
 
Back
Top Bottom