Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Nilipiga picha na mashosti zangu Fulani kwa group bila edit hawatupii nilichoka miyee!!Wanapata tabu sana hawa wasanii
Wengine hadi ukuta unapinda [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipiga picha na mashosti zangu Fulani kwa group bila edit hawatupii nilichoka miyee!!Wanapata tabu sana hawa wasanii
Wengine hadi ukuta unapinda [emoji1787][emoji1787]
Ahsante uko sahihiNishamuona hamissa live yaani unachoona ndivyo alivyo. Tena camera haimpendi na haimtendei haki i
Maana yu
upo supper kuliko uonavyo
Wivu tu ila demu mkalî haswaaaWengi humu wanafata mkumbo tuu kumsema vibaya mara mbaya kumbe hata kumuona hajawahi muona.
Hujatwambia kama unatumua miwani ya macho!Nishamuona hamissa live yaani unachoona ndivyo alivyo. Tena camera haimpendi na haimtendei haki i
Maana yu
upo supper kuliko uonavyo
kabisaaa.Yani watu wanachuki na hamisa bila sababu kisa utimuWivu tu ila demu mkalî haswaaa
Acha wamchukie wao humu ukiwaona [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]!!!hutaamini !kabisaaa.Yani watu wanachuki na hamisa bila sababu kisa utimu
Anakuambia mwanamke sura tabia tutarekebishana[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ahaah hilo nalo neno , domo anajua kuchagua
"uzuri na urembo upo ndani kwa nje mnajiongopea"Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan Mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.
Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazungumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa Mobetto linacheza ndani ya Top 3.
Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokuwa Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa Mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .
View attachment 1547029
Mrangi tena tunakua busy km tunadiskas pesaWabongo bwana Kazi mnayo
Utakuta mijitu inakaa ofisini, saloon, vijiweni
Wanawajadili Hawa watu
Ova
Cocastic wa zamanNilipiga picha na mashosti zangu Fulani kwa group bila edit hawatupii nilichoka miyee!!
Pata hela mpendezeshe demu wako uliyenaye
Picha uliyoweka imepigwa msasa sana,sina uhakika kama ana huo uhalisia
Kuna yule Lyn alishaedit picha hadi kitovu kikapotea
😁😁😄😄Acha wamchukie wao humu ukiwaona [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]!!!hutaamini !
Hakuna mwanamke wa mondi ana sura mbaya