Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa

Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa

Umeniangusha kweli ww mnyalukolo....
hujui vitu vizuri weye....
vitu mma
 
Atamzidi Irene uwoya au Zari ana watoto 5 zari ila ukimuona ni kama huwa haendi chooni
 
Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan Mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.

Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazungumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa Mobetto linacheza ndani ya Top 3.

Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokuwa Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa Mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .

View attachment 1547029
"uzuri na urembo upo ndani kwa nje mnajiongopea"

voice of fareed
 
Wabongo bwana Kazi mnayo
Utakuta mijitu inakaa ofisini, saloon, vijiweni
Wanawajadili Hawa watu

Ova
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah ustar mzgo mkubwa ukiishi ndan ya uhalisia unaishia Kama kina bambo husikiki
Picha uliyoweka imepigwa msasa sana,sina uhakika kama ana huo uhalisia

Kuna yule Lyn alishaedit picha hadi kitovu kikapotea
 
Back
Top Bottom