Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa

Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa

Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.

Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazunumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa mobetto linacheza ndani ya Top 3.

Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokua Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .

View attachment 1547029

hamisa kaumbika jaman uyu mtoto mashaallah [emoji3059]
 
Pata hela mpendezeshe demu wako uliyenaye
We ndio umemaliza mkuu. Hakuna mwanamke mbaya duniani anapogharamiwa na kubrandiwa vizuri, pengine huyo uliye nae nyumbani ni mzuri kuliko hata huyo Hamisa Mobeto unaemsemea. Hata huyo Hamisa mfano akukubalie umuweke ndani Kama guns pesa atachakaa na utamuona mbaya.
Wanaume tuache ushamba tutafute pesa tupendezeshe vyakwetu. Usione vyaelea vimeundwa.
 
Wengi humu wanafata mkumbo tuu kumsema vibaya mara mbaya kumbe hata kumuona hajawahi muona.
 
Nilifanikiwa kumalizana naye mara mbili
1. Ndotoni
2. Nilipokiwa naoga bafuni...

Wakubwa tunafaidi
 
Hamna kitu hapo, hapo mmezugwa na ma-filter plus make up na ubora wa camera ndio unao mpaisha

Hapo credits nampa camera man na yeyote aliyetia mkono kwenye editing ya picha.
Ushawahi kumuona?!!!acha wivu she is beautiful kibongobongo
 
Kuna mdogo wangu akiona picha ya Hamissa Mobeto tu anakumbuka mtungo waliompiga pale Tandika sec siku ya graduation yao japokuwa mwenyewe Hamissa anakataa hajasoma hapo
Hahaaaa kasoma tandika anajitoa fahamu km anakataaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uwoya ukiona live ni mumama mtu mzima Hana shape number nane Ila Instagram Ni mrembo huyo hatari, hamisa naye ig mzungu Ila live wakawaida Sana tu. Lulu ndio mzuri wa asili bila makeup sema ndio mfupi
Kweli uzuri wa MTU upo machoni Lulu namuona wa kawaida mnoo na vile kafupi
 
Back
Top Bottom