Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah wapi hakuna kupigan hapa.[emoji23][emoji23]piganeni tuu atakayeshinda tutamuona ndio mkweli[emoji119][emoji119][emoji23]
Kabisaaaaah yaanUkimuona live ni mweusi hizi rangi sijui wanatoa wapi kwenye camera
Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.
Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazunumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa mobetto linacheza ndani ya Top 3.
Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokua Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .
View attachment 1547029
Unamjua Miss Lucy Charles.
Jelly ya dhahabu dah nimejikuta nacheka paka basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
apa bongo mkuu ama wapi
We ndio umemaliza mkuu. Hakuna mwanamke mbaya duniani anapogharamiwa na kubrandiwa vizuri, pengine huyo uliye nae nyumbani ni mzuri kuliko hata huyo Hamisa Mobeto unaemsemea. Hata huyo Hamisa mfano akukubalie umuweke ndani Kama guns pesa atachakaa na utamuona mbaya.Pata hela mpendezeshe demu wako uliyenaye
Yupo kwenye video ya Weusi ft Christianbella.
Picha uliyoweka imepigwa msasa sana,sina uhakika kama ana huo uhalisia
Kuna yule Lyn alishaedit picha hadi kitovu kikapotea
[emoji108]Picha uliyoweka imepigwa msasa sana,sina uhakika kama ana huo uhalisia
Kuna yule Lyn alishaedit picha hadi kitovu kikapotea
Hahaaaahapana aisee, uyo dau lake ni mishahara yangu 12, bora niendelee kumpigia puli tu, wakubwa wafaidi wenyewe
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Pata hela mpendezeshe demu wako uliyenaye
Ushawahi kumuona?!!!acha wivu she is beautiful kibongobongoHamna kitu hapo, hapo mmezugwa na ma-filter plus make up na ubora wa camera ndio unao mpaisha
Hapo credits nampa camera man na yeyote aliyetia mkono kwenye editing ya picha.
Hahaaaa kasoma tandika anajitoa fahamu km anakataaaKuna mdogo wangu akiona picha ya Hamissa Mobeto tu anakumbuka mtungo waliompiga pale Tandika sec siku ya graduation yao japokuwa mwenyewe Hamissa anakataa hajasoma hapo
Kweli uzuri wa MTU upo machoni Lulu namuona wa kawaida mnoo na vile kafupi[emoji23][emoji23][emoji23]uwoya ukiona live ni mumama mtu mzima Hana shape number nane Ila Instagram Ni mrembo huyo hatari, hamisa naye ig mzungu Ila live wakawaida Sana tu. Lulu ndio mzuri wa asili bila makeup sema ndio mfupi