Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa

Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa

Ana Uzuri Wowote Ni Wakawaida Sana. Huyo mdangaji,
Na Mashavu yake kama Anatafta Thamani ya (X)
 
Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.

Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazunumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa mobetto linacheza ndani ya Top 3.

Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokua Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .

View attachment 1547029
Dau lake?
 
Achana na kutumika kwanza hana sifa ya urembo kiasi hiki ambacho amepaishwa

Kuna kitu kinaitwa power of makeup, kiufundi unaambiwa makeup haimkataagi mtu labda ukutane na decorater ambaye ni underdog

Sasa tuko katika zama za tecnolojia yenye masimu na mikamera yenye sensor za kutosha MP za kuzidi.

Kapigwa makeup, kajilipua picha, nayo picha kaipiga filter za kutosha inatoka hapo inapitiliza adobe inafanyiwa mixing za hatari kisha inapostiwa IG

Na ndio maana kuna mdau mmoja humu aliandika uzi akitaajabu kumuona uwoya sabababa akiwa na sura tofauti na ile ya insta
[emoji23][emoji23][emoji23]uwoya ukiona live ni mumama mtu mzima Hana shape number nane Ila Instagram Ni mrembo huyo hatari, hamisa naye ig mzungu Ila live wakawaida Sana tu. Lulu ndio mzuri wa asili bila makeup sema ndio mfupi
 
Bomba sana huyu mrembo.

Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.

Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazunumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa mobetto linacheza ndani ya Top 3.

Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokua Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .

View attachment 1547029
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mmoja liedit hadi mlango ukapinda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Wanapata tabu sana hawa wasanii
Wengine hadi ukuta unapinda 🤣🤣
 
Back
Top Bottom