Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dau lake?Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.
Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazunumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa mobetto linacheza ndani ya Top 3.
Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokua Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .
View attachment 1547029
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mmoja liedit hadi mlango ukapinda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Picha uliyoweka imepigwa msasa sana,sina uhakika kama ana huo uhalisia
Kuna yule Lyn alishaedit picha hadi kitovu kikapotea
[emoji23][emoji23][emoji23]uwoya ukiona live ni mumama mtu mzima Hana shape number nane Ila Instagram Ni mrembo huyo hatari, hamisa naye ig mzungu Ila live wakawaida Sana tu. Lulu ndio mzuri wa asili bila makeup sema ndio mfupiAchana na kutumika kwanza hana sifa ya urembo kiasi hiki ambacho amepaishwa
Kuna kitu kinaitwa power of makeup, kiufundi unaambiwa makeup haimkataagi mtu labda ukutane na decorater ambaye ni underdog
Sasa tuko katika zama za tecnolojia yenye masimu na mikamera yenye sensor za kutosha MP za kuzidi.
Kapigwa makeup, kajilipua picha, nayo picha kaipiga filter za kutosha inatoka hapo inapitiliza adobe inafanyiwa mixing za hatari kisha inapostiwa IG
Na ndio maana kuna mdau mmoja humu aliandika uzi akitaajabu kumuona uwoya sabababa akiwa na sura tofauti na ile ya insta
[emoji23][emoji23]Ana Uzuri Wowote Ni Wakawaida Sana. Huyo mdangaji,
Na Mashavu yake kama Anatafta Thamani ya (X)
Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike.
Ni mama wa watoto wawili, But ameweza ku maintain umbo lake na kujiweka vizuri siku hadi siku, ukiwa unazunumzia mastaa wakali bongo , jina la Hamisa mobetto linacheza ndani ya Top 3.
Nafasi ya pili inashikiliwa na Nandy. Japokua Nandy ni mrembo zaidi ya Hamisa, na ana pesa na mafanikio kumzidi hamisa, Nandy amezidiwa swagga na Hamisa na jinsi ya kuji brand (Nyota). Nandy anafanya vizur kwenye career yake ya muziki, Lakini hana umaarufu na mvuto kumzidi Hamisa mobetto kwenye jamii. Pia inasemekena kuwa warembo hawa haziivi .
View attachment 1547029
[emoji23][emoji23][emoji23]uwoya ukiona live ni mumama mtu mzima Hana shape number nane Ila Instagram Ni mrembo huyo hatari, hamisa naye ig mzungu Ila live wakawaida Sana tu. Lulu ndio mzuri wa asili bila makeup sema ndio mfupi
[emoji108][emoji108]Hamna kitu hapo, hapo mmezugwa na ma-filter plus make up na ubora wa camera ndio unao mpaisha
Hapo credits nampa camera man na yeyote aliyetia mkono kwenye editing ya picha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mmoja liedit hadi mlango ukapinda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha! ni dirisha la chuma jekundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mmoja liedit hadi mlango ukapinda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kumbe ilikuwa dirisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha! ni dirisha la chuma jekundu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mmoja liedit hadi mlango ukapinda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ngono za utotoni zilimdumaza Lulu, Ila Ni mzuri Sana wa suraYah lulu ni mzur tu wa asili sema kafupi