cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
kumbe mara moja moja unakuwaga na akili eeeeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
safi sana.
Pokea like.. kumbe upo kila jukwaaaa hongera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe mara moja moja unakuwaga na akili eeeeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
safi sana.
Ha ha haaaa
Kumbe hata picha za watu zinakuamlia ooooh... utaweza kumuamulia kaka huku wanaume wanakukimbia eeeeh... akikupiga mabao njoo uniambie... jiongeze mwanamke wewe.. ID yako tu inaonyesha mengi juu yako. Ha ha haaaa
Ni maubuyu tu ya hqpa na pale sasa bado sijathibitishaaMama Sabrina nakuamini wewe shilawadu wa mjini hebu nipashe kidogo basi...
Nami nisiachwe njiani... hapa mjini eti
TehNi maubuyu tu ya hqpa na pale sasa bado sijathibitishaa
SawaaaTeh
Basi mim nipo timu yako nitafutie namba
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Huu uzi watu mmetoa mapovu balaa utafikiri hao wakina Mond...Zari...Hamissa na Wema wanawalipa[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamisa kamshidwa lulu kwa ma Jay atamuweza zari?tusubili tuoneHabari ya mujini ndo hiyo
Mlokua hamjui ndo mjue tena muipate ikiwa ya moto kabisa. Habari ni kuwa Hamisa Mobetto ndo mke mtarajiwa wa Diamond Platnumz hehehee kwaheri Zari.
Habari ndo hiyo kwahiyo team Zari mjiandae kisaikolojia kabisa kwamba bibi akubali kuwa na mke mwenza au aende Uganda hahahaha
#hamisa#forever
[HASHTAG]#Penzi[/HASHTAG] la Hamisa halijawahi kumuacha mtu salama
Sent using Jamii Forums mobile app
na Majizi atamuachia nani ?Habari ya mujini ndo hiyo
Mlokua hamjui ndo mjue tena muipate ikiwa ya moto kabisa. Habari ni kuwa Hamisa Mobetto ndo mke mtarajiwa wa Diamond Platnumz hehehee kwaheri Zari.
Habari ndo hiyo kwahiyo team Zari mjiandae kisaikolojia kabisa kwamba bibi akubali kuwa na mke mwenza au aende Uganda hahahaha
#hamisa#forever
[HASHTAG]#Penzi[/HASHTAG] la Hamisa halijawahi kumuacha mtu salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Like 10000 chukuaMange anadhan kuwatukana watu ndo kujipunguzia stress alizonazo kumne anawaonhezea baraka tele
Kwa makonda kashindwa kumng'oa dar sembuse zari kwa dai
Mkuu hivi unafikiri wanapoangalia picha za zari zinawafurahisha wengi wanaoshabikia akina pangu pakavu, ukiwauliza Zari kawafanya nini? Sijui kama watakujibuMbona mnalazimisha mondi amuache zari ina maana mmeo akizaa nje ndo unaachika acheni kuharibu mahusiano ya watu, haf wanawake msitegemee kuzaa na mtu ndo usababishe aache mpenz wake hyo msahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidMkuu hivi unafikiri wanapoangalia picha za zari zinawafurahisha wengi wanaoshabikia akina pangu pakavu, ukiwauliza Zari kawafanya nini? Sijui kama watakujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
haswaaaaaPokea like.. kumbe upo kila jukwaaaa hongera
HahaaKumbe zari ana tako kubwa hivi sasa zile kelele za kusema kaweka vigodoro za nn sasa huhuhuuu picha za kutengeneza bana
Coco channel mm namjua vzur tu mpk jina lake kamiliKumbe zari ana tako kubwa hivi sasa zile kelele za kusema kaweka vigodoro za nn sasa huhuhuuu picha za kutengeneza bana
Nakwambia huyu anaejiita coco ushuzi kila post anataka kujibu sijui zari mwenyewe au katuma anatokwa na mapovu
Ukizubaa unaachwaMama Sabrina nakuamini wewe shilawadu wa mjini hebu nipashe kidogo basi...
Nami nisiachwe njiani... hapa mjini eti
Hahahaha wapo humuuHumu nimegundua kuna watu kama , mcharuko, baby ake, umbea tz, udaku tz, malkia wa kuchamba n.k maana vichambo vya insta vimeamia humu
Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
Teh tehHuu uzi watu mmetoa mapovu balaa utafikiri hao wakina Mond...Zari...Hamissa na Wema wanawalipa[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakiii bila shaka we ni malkia wa kuchamba wa instagramHebu tuambie zari aliolewa lini ovyo yeye mwenyewe watoto wote wa zinaa nina mume wangu sina shina ya kuzaa na mume wa mtu wangu ananitosha wote malaya hao na huyo bwana wao asiofunga zipu na kutumia kondom ovyo