Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mbona hujamuongelea tiffa hapo au nae bado mnasema wa katunzi?
Ubaba huo uliokuwa na shaka unaufosi mwenyewe Nilan chapa ya ivan bora hata yule mganda angekuwa hajawahi kukutana na ivan ila kam huoni basi hata picha hutazami wanawake sie tuna siri kubwa sana ikipita DNA kama kile kipindi cha tv watu paa wamezimia unakuta watoto wote sio wako