Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Ha ha haaaa
Kumbe hata picha za watu zinakuamlia ooooh... utaweza kumuamulia kaka huku wanaume wanakukimbia eeeeh... akikupiga mabao njoo uniambie... jiongeze mwanamke wewe.. ID yako tu inaonyesha mengi juu yako. Ha ha haaaa

Ovyo hata hamu puuuu
 
Hamisa kamshidwa lulu kwa ma Jay atamuweza zari?tusubili tuone
 
na Majizi atamuachia nani ?
ni huo weupe tu ndio mnababaika nao but ni zero brain
ha match na kasi ya Diamond
ana mambo ya Kiswahili , ya umbea umbea ..nani atamuoa mwana mke mbea
inaweekana Diamond kamtia mimba lakini sio kwa mapenzi bali mobeto hakuthamini uke wake , alimtega diamond mwana ume akampiga bao. kama kashika mimba hilo ni ajali kazini lakini sio mapenzi
na inawezekan mimba hiyo si ya diamond ila anataka kumbambikia
ni mshamba wa uswahililini hana mawazo ya kujiendeleza Zaidi ya kuzaa hovyo hata kwa kukamatia. ..anaweza kufanya tena na tena kubaka waume wa watu...tabia hio hawachi
Zari ni Brain Master na amemvusha sana Diamond kukuza kipaji chake kwa ushauri , kwao sio mapenzi tu bali ni maisha na kazi kwa ajli ya future yao.
Mnalazimisha kitu kisichokuwepo..... NA NDIO MAANA DIAMOND ALIWAHI KUSEMA HAPENDI KUTOA VIDEO NA VIJIKE VYA BONGO AKUKUMBATIWA YEYE ATAIGEUZA KUWA KIKI NA KUANZA KUPOSTI KUWA ANAPENDWA..HAJUA HATA KISS KWENYE MOVIE NI KAZI ...
 
Mbona mnalazimisha mondi amuache zari ina maana mmeo akizaa nje ndo unaachika acheni kuharibu mahusiano ya watu, haf wanawake msitegemee kuzaa na mtu ndo usababishe aache mpenz wake hyo msahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi unafikiri wanapoangalia picha za zari zinawafurahisha wengi wanaoshabikia akina pangu pakavu, ukiwauliza Zari kawafanya nini? Sijui kama watakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tuambie zari aliolewa lini ovyo yeye mwenyewe watoto wote wa zinaa nina mume wangu sina shina ya kuzaa na mume wa mtu wangu ananitosha wote malaya hao na huyo bwana wao asiofunga zipu na kutumia kondom ovyo
Hakiii bila shaka we ni malkia wa kuchamba wa instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…