Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
-
- #201
ndoa?Yaan wanatia huruma hawa watu wamegundua kumshusha zari ni ngumu mno. Mange kule insta analia kabisa maskin weee timu imepata pigo baada ya kupata tetesi ya ndoa kati ya zari na dai
dia usinionee huruma, jionee huruma weweMaskin hadi nakuonea huruma yaan unamuomea wivu mkali zari
aiseeeYaani wanatamani kuwa Zari hadi wanachamganyikiwa. Na business ya Karanga sio yake kama vile mtu hawezi kuwekeza pesa ma hata kubadili rangi ya packets etc na kuimiliki asilimia kubwa kama sio yote. Yote haya Zari kupemdwa na Dai kufika... Dai aliyekuwa hazai now wanampigania watoto wawe ndugu na watoto wa Zari. Eeeh eti pia anataka mali za Ivan. Ninacheka tu
UNIPELEKE MAHAKAMANI HALAFU NIKUOEHabari ya mujini ndo hiyo
Mlokua hamjui ndo mjue tena muipate ikiwa ya moto kabisa. Habari ni kuwa Hamisa Mobetto ndo mke mtarajiwa wa Diamond Platnumz hehehee kwaheri Zari.
Habari ndo hiyo kwahiyo team Zari mjiandae kisaikolojia kabisa kwamba bibi akubali kuwa na mke mwenza au aende Uganda hahahaha
#hamisa#forever
[HASHTAG]#Penzi[/HASHTAG] la Hamisa halijawahi kumuacha mtu salama
Sent using Jamii Forums mobile app[/QU