Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Yaani wanatamani kuwa Zari hadi wanachamganyikiwa. Na business ya Karanga sio yake kama vile mtu hawezi kuwekeza pesa ma hata kubadili rangi ya packets etc na kuimiliki asilimia kubwa kama sio yote. Yote haya Zari kupemdwa na Dai kufika... Dai aliyekuwa hazai now wanampigania watoto wawe ndugu na watoto wa Zari. Eeeh eti pia anataka mali za Ivan. Ninacheka tu
aiseee
 
Habari ya mujini ndo hiyo

Mlokua hamjui ndo mjue tena muipate ikiwa ya moto kabisa. Habari ni kuwa Hamisa Mobetto ndo mke mtarajiwa wa Diamond Platnumz hehehee kwaheri Zari.

Habari ndo hiyo kwahiyo team Zari mjiandae kisaikolojia kabisa kwamba bibi akubali kuwa na mke mwenza au aende Uganda hahahaha

#hamisa#forever

[HASHTAG]#Penzi[/HASHTAG] la Hamisa halijawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app[/QU
UNIPELEKE MAHAKAMANI HALAFU NIKUOE
MAMA BUNDUKI OG.jpg
 
Zari ana pesa. Hamissa ana nini jamani? Wanaume wa siku hizi wanatafuta mwanamke kwenye pesa kama Zari. Nashauri Dada wa bongo atulie tu... Ahesabu kala hasara. SHILAWADU wameongea na Zari. Na amehapa kutonwacha Diamond.
 
Back
Top Bottom