Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Ndio yaleyale kutwa kumpost Mwanaume lakini mwanaume anapost mwanamke mwingine wewe unaona unamkomesha mwanamke Mwenzio kumbe unajikomesha Mwenyewe tangu Hamisa aanze drama zake chibu kakaa kimya. Kuna wanawake wana mioyo migumu Kama Hamisa kulialia ndoa hadharan wakat unayemlilia Hana habar na wewe au mliliee mkiwa wawili. Ukija kuweka hadharan waja hatuamini mpaka chibu athibitishe.
 
Hv huyu hamisa si angekaa kimya tu. Au akikaa kimya atapungukiwa na nn? So what pamoja na mabango yote haya na mashauzi halafu badae anasikia mond na zari wako zao sehem wanakula raha km kawaida yao, sijui atafanyaje. Mwanaume kuzaa nje ya utaratibu asidhani hampendi wa zamani, inatokeaga sana hata kwenye ndoa mme kuzaa nje ya ndoa sio kwamba hampendi mke wake. Hamisa akae atulie aacha mambo yaende menyewe asitumie nguvu sana kujitangaza.
 
Tatizo Hamisa hajui kula na kipofu, Zari anaweza akaachana na Diamond, Lakini asimuoe Hamisa akavuta mwanamke mwingine au arudiane na sepetunga wake Hamisa Apambane tu na Hali yake anajidhalilisha kulilia status hadharan wakati Mwenye kukupa Hiyo status kakuchubulia anazidi kukuponda.
 
Diamond) .
Niliposikia beat tu nikatamani nifanye verse/ Nikamcheck Ngosha akaniambia mbona fresh/ Upesi upesi nikaandika nimurde kesi/
Na sasa ngoma mtaani imenuka kama kinyesi/
I started young kabla sijaitwa Chibudenga/
Enzi hizo naitwa Domo eti siku hizi lips Denda/ Baba Tiffa mnaniita Baba Nillan/
Nasikia naitwa Baba Abdul, kuna mambo mitaani /
Mzuka ukipanda ukate viuno kama Vanga/
Kwa beat ya Kubanda inayobakwa na muuza karanga/
Ukinichukia sikose hela hivyo kwangu sio kesi/ Kunicompare na Cinderella haiwezi kuwa fresh/ Simba kutoka mbuga ya Tandale/
Naona swala wanaforce tuwe sare sare/
Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kalle/
Si walitaka kiti, nimewapa hadi kitanda wakalale . . .

S
 
Alee mtoto ajiandae na mimba nyingine kutoka kwa chidy Benz
hahahahahaha
Diamond) .
Niliposikia beat tu nikatamani nifanye verse/ Nikamcheck Ngosha akaniambia mbona fresh/ Upesi upesi nikaandika nimurde kesi/
Na sasa ngoma mtaani imenuka kama kinyesi/
I started young kabla sijaitwa Chibudenga/
Enzi hizo naitwa Domo eti siku hizi lips Denda/ Baba Tiffa mnaniita Baba Nillan/
Nasikia naitwa Baba Abdul, kuna mambo mitaani /
Mzuka ukipanda ukate viuno kama Vanga/
Kwa beat ya Kubanda inayobakwa na muuza karanga/
Ukinichukia sikose hela hivyo kwangu sio kesi/ Kunicompare na Cinderella haiwezi kuwa fresh/ Simba kutoka mbuga ya Tandale/
Naona swala wanaforce tuwe sare sare/
Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kalle/
Si walitaka kiti, nimewapa hadi kitanda wakalale . . .

S
 
Wanashindanaga upuuzi tu,,,ila kwanini daimond anamkana mtoto?mi nahisi huyu mtoto baba ake mwingine kabisa,kama dai ni wake ina maana anamuogopa zari
Hill la mwisho ndo jibu yule bibi wa kiganda ana limbwata moja matata alifanya mpaka domo kamsahau Wema kipenzi chake itakuwa hamisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninasikia arobaini ya mtoto inaandaliwa ambayo haijawahi kutokea.
HAKUNA LOLOTE ZARI IZ ZEA TU STAY HUYU MUBETO NI WA KUKAZWA NA KUACHWA TU ...READ MY LIPS!!!! KAMA KUNA MTU ANA AKILI NI DAIMOND
BY the way huyu hamisa mbona anatumia nguvu nyingi sana kujitangaza kuwa ana mtoto wa diamond ni wazi kuwa hiyo haikuwa plan ya dai yeye alikuwa awekwe kapuni sasa kwavile kaleta kiherehere ataendelea kuchambika mara bitch mara mtoto si wangu pa mwisho
 
Mtoto hana baba, alipandikizwa kwa chupa kama ng'ombe teh
 
Yaani mond akisema anaachana na zari mtu wa kwanza kurudi ni Wema maana pamoja na mane no yote lkn hajawahi kumtukana Wema wala kumuongelea vibaya zaidi zaidi anamsifia kwenye nyimbo zake na akiulizwa kama bado anampenda Wema huwa hatoi jibu la yes au No, hamisa namuonea huruma hataki kuamini kwamba ye kwake ni mchepuko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamisa na sampuli ya wanawake michepuko ambayo kutwa kusubiri mke halali aachike aingie yeye halafu mbaya zaidi anakutana na mwanamke mwenye akili iliyokomaa atoki mtu zaidi mtoto atalelewa tu na kuishia kujutia maamuzi ya kuzaa na mtu asiyekupenda.... hamisa ni muda sasa utulie mapenzi hayalazimishwi dai yupo kwa zari kwa ajili ya biashara the same na zari wale wamejijenga zaidi nje ya mapenzi... sasa mama dai aje kwako zaidi ya kukata kiuno huna la zaida aisee sijui labda ukamloge dai.. nikiangalia kwa jichola tatu hamisa jiandae kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…