Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Mbona hujamuongelea tiffa hapo au nae bado mnasema wa katunzi?
 
Nini picha eti hata sms au voice calls za dai hana,inakuaje mtu mpo mapenzin asikutumie sms au kukupigia simu aisee. Kama ni kweli anapendwa au alipendwa amwage ushahid bana watu waamue

Umenena kweli msgs mawasiliano hata kadunchu eeeeh.. milembe kunanafasi maana mtu anatendwa hakuna mawasiliano na kuzaa eti unazaa ukiamini utabebwa na kupata mtoto nae awe baby shop baby ha ha haaaa

Hapo sasa hadi leo kakosa ushahidi kabisaaa na kuumia hadi kuwaita watu wachawi sijui watamloga hana hata aibu kuwasema waswahili wenzake.. ujanja hana.

Labda leo atapokea pesa za kumtunza mwanae wa kwanza ndio aende kuhonga watu watengeneze uongo. Ambao ni hana kabisaaa lazima angesharusha.

Kashushuka msomali ana roho ya chui yule
 
Inasikitisha sana .. Namuonea huruma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hebu tuambie zari aliolewa lini ovyo yeye mwenyewe watoto wote wa zinaa nina mume wangu sina shina ya kuzaa na mume wa mtu wangu ananitosha wote malaya hao na huyo bwana wao asiofunga zipu na kutumia kondom ovyo
 
Mwanaume hawezi kujitapa kwa sababu anaogopa kupewa za uso au hata kutolewa uhai kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] lkn wanawake vijembe na maneno ya kujikweza kwa wakewenza ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake hawajui kujiongeza kabisa wao wanawaza kuzaa ovyo kubebesha watu mizigo ya malezi. Huruma yangu ipo kwa mtoto asiye na hatia kupata mama mbumbumbu kama hamisa
 
Hebu tuambie zari aliolewa lini ovyo yeye mwenyewe watoto wote wa zinaa nina mume wangu sina shina ya kuzaa na mume wa mtu wangu ananitosha wote malaya hao na huyo bwana wao asiofunga zipu na kutumia kondom ovyo

Wewe lazima mumeo kazaa nje na hivyo hujui hata kusaka pesa zako upo unamshikilia na kumsaidia kulea watoto wa nje. Mwanamke mvivu hasie na akili za kujisimamia ndio atakubali mumewe azae nje nae akae tu kimya.. unatia aibu kisikitikie... kumbe upo hivyo lelelele duh usiniambukize hayo ya kukaaa shimoni kisa huna hata akili ya kujiingizia sh 1. Pita hukoooooo msaidie kulea hao wa nje. Zari mke wa Diamond.. sisi tunasoma international news jamani wanamuita hivyo aoooooo.. two kids.. house.. car etc wifey huyoooo
 

Hebu tuambie zari aliolewa lini ovyo yeye mwenyewe watoto wote wa zinaa nina mume wangu sina shina ya kuzaa na mume wa mtu wangu ananitosha wote malaya hao na huyo bwana wao asiofunga zipu na kutumia kondom ovyo
 

Unanichekesha sana na wala usinijue siishi kwa kutegemea mwanamme hata kama nimeolewa nimekwambia wangapi wameoa na wanazaa nje huyo malaya wako kama ndio wewe mwenyewe ovyo kwa dini gani aliolewa povu lako kaoshee huko sizai ili nirithi mali za wanaume kama wewe zari ulivyo hovyo namiliki mjengo wa maana niliotafuta kwa jasho kafie mbele huko ovyo usivae watu kama pazia la sinema kajambe mbele huko kulazimisha watu wameolewa
 
Haha eti uteam acha hizo wewe ni team wema maana humu umemtaja wema mara mia kidogo.
Huu Uzi unawazungumzia watu wa 3 hamisa, zari, mond na kati ya hao wote siko side yoyote maana naona wanacheza na akili zenu tu kisa kuna nyimbo mpya imetoka au inataka kutoka , ila hili la uteam kuna kuwa team Fulani na kumpenda mtu, kama kumpenda mtu ndo kuwa team Fulani bas Niko, team Wema, team Lulu, team jokate, team flaviana, team jk, team lowasa n.k maana hao nawapenda tu

Hope umeridhika kuwa Nina team

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimekugusa haswa umebaki mataaa nimekusomaje ulivyo... ha ha haaaa
Kuwa mwanamke sio msubiria.. hata shule nenda kasome ujiongeze.

CIAO
 
Nimekugusa haswa umebaki mataaa nimekusomaje ulivyo... ha ha haaaa
Kuwa mwanamke sio msubiria.. hata shule nenda kasome ujiongeze.

CIAO

Nadhanii wewe ndio shule ndogo umenigusa wapi nimekupa ukweli wako wewe tegesha k umbambikie watu uzae ili upande mjengo bora hata domo kakusitiri maana ivan alikuweka kwenye ki apartment ovyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mara paap Jf inageuka kuwa insta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…