Hamisa Mobetto; Nilishamwambia mwanangu baba yako ni yule yule ila alikukataa

Sijaelewa,
Huyu Hamisa si ameolewa?
Ina maana alikuwa anatumika Kitumwa akiwa kwenye ndoa?
 
Narudia tena na tena UZINZI HAUJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA

Endeleeni haya ni moja wapo ya madhara ya UZINZI
 
Ningekuwa mimi ndo Hamisa, ningeacha kuzungumzia masuala ya mwanangu kwenye public. Kama baba ake kamkataa na huko nyuma alishazungumza sasa inatosha!
 
Kwani kipindi anapata mimba si alimkuta diamond na mtu.. yeye alitaka kuzaa na mtu maarufu amefanikiwa ila kulipa gharama sasa hataki kwenye hili diamond platnumz yupo sawa maana ndio mfumo wake wa watoto wake wa sasa anavyowalea akimtaka mtoto mama mtu anawaleta watoto yanayoendelea huko sisi mashabiki hatujui..hamisa akubaliane na hali aache kulisha mtoto matango pori na chuki wakati inajulikana ni slay queen na gold dagger tu.
 
Angekuwa diamond ni fundi viatu angepewa mtoto mwanaume yeyote mwenye pesa...
 
Hapa unataka kusema Tanasha na Ze Boss LEDI huwa wakihitajika wanaitwa kwenda KUTEMBEZEWA RUNGU?
Sidhani kama ni kweli. Pengine alitaka kumuonea huyu kwa sababu mnyonge ila Zari sidhani kama anaweza kukubaliana na upuuzi kama huo
 
Kwa mantiki hii binafsi naona bado haja move on..

Still insane.

Itakuwa kaulizwa maswali na hawa "wana habari wa kileo"...ndio kafunguka kutoa donge moyoni, sasa ukichanganya na uduni wa kujielezea ndio matokeo yake haya...
 
Nimecheka sana mkuu, huu ndio ukweli. Ndio maana bibie kinamuuma sana jamaa kuvunga. 😊
Kabisa, Hamisa anajuwa hata kama diamond hatunzi ila kukubali ni mtoto wake huenda kesho akajirudi na mtoto kunufaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…