Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ILA LIKE SERIOUSLY mama Dylan anaweza kuwaza anashindana na zari enh?Awaulize akina wema , walihongwa nyumba za million 400, na Range Rover na kufungulia makampuni juu, sasa hiv yuko wapi , anabaki kuhaha, yeye anajifananisha na zari wakat hampat hata unyayo
rudi hapa tusogoeeeeeeeeeeeeee!Miss you too binamu , I'm back aaaah
lipstick zimerudi!Wema alikua na makampuni na lipstick yake , kiko wapi , biashara kama huna akili haiendi
rudi hapa tusogoeeeeeeeeeeeeee!
kwanza uje na ubuyu wa kina Irada na Waziri !
naskia Sabrina anaolewa jioni hii au kashapigwa ndowaa!
wee naeee siku hizi kama wanja wa njiti!
psyuuuuu heb kausake ulete!
Huyu Irada ni Wife material kabisa sijui wanaume wanataka nini atiiirudi hapa tusogoeeeeeeeeeeeeee!
kwanza uje na ubuyu wa kina Irada na Waziri !
naskia Sabrina anaolewa jioni hii au kashapigwa ndowaa!
wee naeee siku hizi kama wanja wa njiti!
psyuuuuu heb kausake ulete!
Warumi acha uzushi.sio fresh umbea tunafanya ila muogope mungu.majizzo kigamboni anaishi na mwanamke Fulani tena alihamia siku ile ile lulu alipoenda ndani.muache misa wa watuAwaulize akina wema , walihongwa nyumba za million 400, na Range Rover na kufungulia makampuni juu, sasa hiv yuko wapi , anabaki kuhaha, yeye anajifananisha na zari wakat hampat hata unyayo
wambea mjini tupo wengi..[emoji108] [emoji108] [emoji108]rudi hapa tusogoeeeeeeeeeeeeee!
kwanza uje na ubuyu wa kina Irada na Waziri !
naskia Sabrina anaolewa jioni hii au kashapigwa ndowaa!
wee naeee siku hizi kama wanja wa njiti!
psyuuuuu heb kausake ulete!
Hii ndio naisikia Leo [emoji6]Warumi acha uzushi.sio fresh umbea tunafanya ila muogope mungu.majizzo kigamboni anaishi na mwanamke Fulani tena alihamia siku ile ile lulu alipoenda ndani.muache misa wa watu
Ya Ndani huyajui shoga..Huyu Irada ni Wife material kabisa sijui wanaume wanataka nini atiii
Yawezekana ana mapungufu yake ila yule dada yuko poa sana. Sema mume ndo kicheche hajatulia kabisaYa Ndani huyajui shoga..
Na asili ya wanaume ni tamaa..hata uwe mzuri vipiii!
Na wewe....Irada kafanya nini..? Manake umenifanya nilog in kupata habari kamili
Huyu Irada ni Wife material kabisa sijui wanaume wanataka nini atiii
Ila mwanamke akishaingia kwenye hayo mambo inawa "put off" sana wanaume..Lulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
Na wewe....
Yes .anaoa mchepuko wake wa miaka minne.mke kamind wakati ni muislam.Jamani hebu niondoleeni hizi code mwenzenu... Waziri anaoa ama??
Kashaoa. Kaoa kwa siri Irada kajua ndoa tayariJamani hebu niondoleeni hizi code mwenzenu... Waziri anaoa ama??
Kashaoa. Alichokasirika kutokupewa taarifaYes .anaoa mchepuko wake wa miaka minne.mke kamind wakati ni muislam.