Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Yes .anaoa mchepuko wake wa miaka minne.mke kamind wakati ni muislam.
Hata mie ningemind lol, hayo mambo ya ndoa na mahusiano magumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes .anaoa mchepuko wake wa miaka minne.mke kamind wakati ni muislam.
Habari ya miaka mingi mkuu, nimekumiss pia, emb fanya ukuje kwetuuuHahaaa nimekumiss mtu wangu
Kashaoa. Kaoa kwa siri Irada kajua ndoa tayari
Ungemind nini? Unapoamini katika dini flani. Unatakiwa uishi katika kanuni zake. Eti kamind why anamuoa na hakujua kama anatembea nae miaka yote.sasa angemuoaje mtu bila kuwa na mahusiano nae?Hata mie ningemind lol, hayo mambo ya ndoa na mahusiano magumu sana
Amepewa.Kashaoa. Alichokasirika kutokupewa taarifa
Yani acha kabisa ila Waziri alikuwa kicheche wa sirisiri sanaYalaaaa unanikausha uzazi mie in Warumi voice.
Some Men can be so evil wakati mwingine... ulikua ukiwaona hivi unasema jamani mapenzi si ndo haya kumbe
Labda anaongopa. Japo kasema hakupewa taarifa na alishamfuma bwana na Text za Sabrina akakana.Amepewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipoje hiyoLulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
Na hata angepewa taarifa angekubali?Kashaoa. Alichokasirika kutokupewa taarifa
Hawa wanawake wenzetu kiislam hawajitambui .uislamu wao unaishia kwenye kuvaa hijabu tu.uislam unaruhusu wake wengi.zari nae alivosikia mond akisema anaoa wake wanne kaamua kuokoka kabisaKashaoa. Alichokasirika kutokupewa taarifa
Hapo sasa.eti kasema anaondoka.muislamu gani unazira ndoa kisa mke wa pili?Na hata angepewa taarifa angekubali?
Sasa tuliza kipago muache hamisa na mambo yake bibi weeeeee!!!Binamu nimeroga mpka nimeolewa Canada na mzungu , mi sidangagi kwa ngozi nyeusi wananuka umaskin, ukirogq mbongo yakikurudia unakua kichaa nani anatak
Usimfananishe hamisa na uchafu wa Sema au ZariAwaulize akina wema , walihongwa nyumba za million 400, na Range Rover na kufungulia makampuni juu, sasa hiv yuko wapi , anabaki kuhaha, yeye anajifananisha na zari wakat hampat hata unyayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afadhali umpee?eeehh!anaishi na nani?Tobaaaaaaa hatariiiWarumi acha uzushi.sio fresh umbea tunafanya ila muogope mungu.majizzo kigamboni anaishi na mwanamke Fulani tena alihamia siku ile ile lulu alipoenda ndani.muache misa wa watu
hahaaa hiriz...ila naona wanavyo badilishana Ukimwi kwa kasi "" katika ubora wao ..daahhh chain yao nikubwa wakijipanga wanaweza kutoka dar mpaka moroLulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
sema anapasha kiporo tu coz na lulu wamefika juu na ndoa ilikuwa inanukia sema ndio ikatokea mbaya kwa luluIla huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi.
Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao Fantasy Hamisa alilala kwa Majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwanini wanafanya siri wakati wameshazaa na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya Ramada, Hamisa anajificha mwenyewe akikiingia kama mchawi.
Na Majizzo mnafiki wakati analala na Hamisa anajifanya kumpost Lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta, wekeni tu mahusiano yenu hadharani mrudiane mlee mtoto wenu, tatizo wote mmekutana hamjatulia ndio maana mnaogopa kuweka wazi mahusiano yenu.
hahaaaNdo nikuulize kilichokuwasha ku comment kama umeona haikuhusu, umbea tu ndo unapenda mxieww sura kama chupi ya nandy umbea tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa wanawake wenzetu kiislam hawajitambui .uislamu wao unaishia kwenye kuvaa hijabu tu.uislam unaruhusu wake wengi.zari nae alivosikia mond akisema anaoa wake wanne kaamua kuokoka kabisa
hahaaa...umalize nini ??We mbwa naona ulimis Vichambo vyangu , ngoja nimalize kunya nikuonyeshe mbwa wewe kasoro miguu
damu zao zina ant backteriaMastaa hawapati ukimwi