Hamisa na Majizzo warudiana

Lulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipoje hiyo
 
Binamu nimeroga mpka nimeolewa Canada na mzungu , mi sidangagi kwa ngozi nyeusi wananuka umaskin, ukirogq mbongo yakikurudia unakua kichaa nani anatak
Sasa tuliza kipago muache hamisa na mambo yake bibi weeeeee!!!

Kumbe we ushapata mcanada chako nini?[emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Lazima mumchukie wengi mnamchukia kwa kua kawazidi maujanjaaa
 
Awaulize akina wema , walihongwa nyumba za million 400, na Range Rover na kufungulia makampuni juu, sasa hiv yuko wapi , anabaki kuhaha, yeye anajifananisha na zari wakat hampat hata unyayo
Usimfananishe hamisa na uchafu wa Sema au Zari

Hamisa ninyooosheee wapuuzi wa mji dogo!
 
Warumi acha uzushi.sio fresh umbea tunafanya ila muogope mungu.majizzo kigamboni anaishi na mwanamke Fulani tena alihamia siku ile ile lulu alipoenda ndani.muache misa wa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afadhali umpee?eeehh!anaishi na nani?Tobaaaaaaa hatariii
 
Lulu alikutwa na hirizi inapumua, dada zake Majizzo hawana hamu nae. Mjini mambo ni kushare, kwenye hii chain atakaegundulika na ngwengwe mbona patakua padogo.
hahaaa hiriz...ila naona wanavyo badilishana Ukimwi kwa kasi "" katika ubora wao ..daahhh chain yao nikubwa wakijipanga wanaweza kutoka dar mpaka moro
 
sema anapasha kiporo tu coz na lulu wamefika juu na ndoa ilikuwa inanukia sema ndio ikatokea mbaya kwa lulu
 
Hawa wanawake wenzetu kiislam hawajitambui .uislamu wao unaishia kwenye kuvaa hijabu tu.uislam unaruhusu wake wengi.zari nae alivosikia mond akisema anaoa wake wanne kaamua kuokoka kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…