Hamisa na Majizzo warudiana

Hamisa na Majizzo warudiana

Kila tu ale kuku wake.

Kama huna kuku subiri utapewa miguu na utombo wa kuku itakayosalia.
 
Ila huyu mwanamke shetani sana , anaona raha kuaribu mahusiano ya wenzio , kwa hiyo dyudyu ya diamond Akaona haimtoshi, sasa hvi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao fantasy hamisa alilala kwa majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwa nini wanafanya siri wakati wameshazaa , na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya ramada, ki hamisa kinajifichaga chenyewe kikiingia kama kichawi

Na majizzo mnafiki wakat analala na hamisa anajifanya kumpost lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta , wekeni tu mahusiano Yenu hadharani mrudiane mleee mtoto wenu , tatizo wote mmekutana malaya ndio maana mnaogopa kuweka Wazi mahusiano yenu mxiee
Sawa msemaji wa wasanii tumekusoma uzuri
 
Back
Top Bottom