Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Atakuwa kashaenda 7 by this time
Hahaaaa nacheka kihutu [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba ig handle ya sabrina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kashaenda 7 by this time
Hahahhahahahha bila umbra hii nchi utapata kichaa,tuwe tu wambeawambea mjini tupo wengi..[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ngoja nikuangalizieHahaaaa nacheka kihutu [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba ig handle ya sabrina
watu mna manenooooo.......Bora umerudi binamu hili jukwaa lilipooza kama mkojo wa paka.
Wanaume waliumbwa na udongo wao ulimoxiwa na vyuma chakavuHuyu Irada ni Wife material kabisa sijui wanaume wanataka nini atiii
Ndo nikuulize kilichokuwasha ku comment kama umeona haikuhusu, umbea tu ndo unapenda mxieww sura kama chupi ya nandy umbea tu
warumi ulipotelea wap best..Ila huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi.
Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao Fantasy Hamisa alilala kwa Majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwanini wanafanya siri wakati wameshazaa na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya Ramada, Hamisa anajificha mwenyewe akikiingia kama mchawi.
Na Majizzo mnafiki wakati analala na Hamisa anajifanya kumpost Lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta, wekeni tu mahusiano yenu hadharani mrudiane mlee mtoto wenu, tatizo wote mmekutana hamjatulia ndio maana mnaogopa kuweka wazi mahusiano yenu.
Kha we bidada..mkojo wa?Bora umerudi binamu hili jukwaa lilipooza kama mkojo wa paka.
Itakuwa haitakiHutaki kuona pepo?
KabisaSikia tu kwa mwenzio mama
Hawajui wanataka nini kabisa wanahangaika kama wako na chawa kwenye suruali.Wanaume waliumbwa na udongo wao ulimoxiwa na vyuma chakavu
Kwani hujaona lakini?Kha we bidada..mkojo wa?
[emoji23]watu mna manenooooo.......
ila kwakweli chupi ya Nandy ilikuwa chafu sana.Ndo nikuulize kilichokuwasha ku comment kama umeona haikuhusu, umbea tu ndo unapenda mxieww sura kama chupi ya nandy umbea tu
sijaonaKwani hujaona lakini?
HaahahahahahahahhBinamu nimeroga mpka nimeolewa Canada na mzungu , mi sidangagi kwa ngozi nyeusi wananuka umaskin, ukirogq mbongo yakikurudia unakua kichaa nani anatak
HahahaahahahahahahHawa wanawake wenzetu kiislam hawajitambui .uislamu wao unaishia kwenye kuvaa hijabu tu.uislam unaruhusu wake wengi.zari nae alivosikia mond akisema anaoa wake wanne kaamua kuokoka kabisa