Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
- Thread starter
-
- #41
Mkuu kama ukiisoma kwa umakini comment ya mahondaw ameongelea in general,hakumtarget huyo sijui Hamisa.
Have a good day mkuu.Nimeelewaa sana ilaaa cheki video ya dai kwanza alichomkashifu misa kama hatoweza pata best man kama.yeye. na hata sie ktk mahusiano yetu tukiaxhana tunatamka kauli mbaya juu ya wenzetu tunaowaacha.. but unatakiwa utulize akili na upate kile kitu matata
Are you serious? Yani watu milioni 10 nchini wanajua unafanywa nyuma na wanaume halafu unasema ndo kashindwa mpambanoWatu wengi wasichojua ni kuwa sehem km Las vegas unaweza kulipia halaf ukapata service km hizo,mange atawaingiza watu chaka baada ya kushindwa bifu na dudubaya
😁😁😁Are you serious? Yani watu milioni 10 nchini wanajua unafanywa nyuma na wanaume halafu unasema ndo kashindwa mpambano
U too 🙏Have a good day mkuu.
Wivuuuu mwanaume wivuuu hamisa hata achakaeje uki mwomba akupiyani mtu kazalishwa mitoto miwili halafu mi niende hapohapo,mabinti wameisha hadi nifate mmama mwenye lundo la mitoto ,sio kwa makombo hayo
waliomla wote walim'baka? si aliwavulia chupi kiroho safi,hata mimi nikiweka mzigo mrefu hachomoki sema tu kupiga mmama mwenye lundo la mitoto tena baba tofauti aisee kwangu ni ngumu sana,unadhani mababa wa hao watoto wakiamua kumgegeda kwa njia ya kujifanya anafatilia maendeleo ya mtoto atachomoa?Wivuuuu mwanaume wivuuu hamisa hata achakaeje uki mwomba akupi
Kwanini achomoewaliomla wote walim'baka? si aliwavulia chupi kiroho safi,hata mimi nikiweka mzigo mrefu hachomoki sema tu kupiga mmama mwenye lundo la mitoto tena baba tofauti aisee kwangu ni ngumu sana,unadhani mababa wa hao watoto wakiamua kumgegeda kwa njia ya kujifanya anafatilia maendeleo ya mtoto atachomoa?
Kwanini achomoe
nashukuru kwa kunielewaKwanini achomoe
ukifanya vitu kwa kumkomesha ex means you still love and appreciate him/ her na roho bado inakuuma.
#FOCUS
cc Smart911
kazi kweli kweliSasa hapo kutakua na mapenzi au show off tu??
We hupendi show off?kazi kweli kweli
nisinge kuwa natumia Jf na ku unstore IG ..We hupendi show off?
Kwani mtu akizalishwa huwa kuna kitu kinakuwa kimeharibika na hivyo hatakiwi kuchukuliwa na mwingine! kwahiyo unataka kutuambia nini kuhusu bosi wa WCB alivyomchukua Zari..?yani mtu kazalishwa mitoto miwili halafu mi niende hapohapo,mabinti wameisha hadi nifate mmama mwenye lundo la mitoto ,sio kwa makombo hayo
yap bint ambaye hajazaa maungo yake huwezi kufananisha na mwanamke aliyezalishwa ndio maana kuna baadhi ya wanawake wanalazimisha wajifungue kwa operation na kuna baadhi hawataki kabisa kunyonyesha.Kwani mtu akizalishwa huwa kuna kitu kinakuwa kimeharibika na hivyo hatakiwi kuchukuliwa na mwingine! kwahiyo unataka kutuambia nini kuhusu bosi wa WCB alivyomchukua Zari..?