Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
- Thread starter
- #41
Nimeelewaa sana ilaaa cheki video ya dai kwanza alichomkashifu misa kama hatoweza pata best man kama.yeye. na hata sie ktk mahusiano yetu tukiaxhana tunatamka kauli mbaya juu ya wenzetu tunaowaacha.. but unatakiwa utulize akili na upate kile kitu matata
Mkuu kama ukiisoma kwa umakini comment ya mahondaw ameongelea in general,hakumtarget huyo sijui Hamisa.