Hamisa ndani ya kifaa kipya Vegas ni💞

Hamisa ndani ya kifaa kipya Vegas ni💞

Nimeelewaa sana ilaaa cheki video ya dai kwanza alichomkashifu misa kama hatoweza pata best man kama.yeye. na hata sie ktk mahusiano yetu tukiaxhana tunatamka kauli mbaya juu ya wenzetu tunaowaacha.. but unatakiwa utulize akili na upate kile kitu matata
Mkuu kama ukiisoma kwa umakini comment ya mahondaw ameongelea in general,hakumtarget huyo sijui Hamisa.
 
Nimeelewaa sana ilaaa cheki video ya dai kwanza alichomkashifu misa kama hatoweza pata best man kama.yeye. na hata sie ktk mahusiano yetu tukiaxhana tunatamka kauli mbaya juu ya wenzetu tunaowaacha.. but unatakiwa utulize akili na upate kile kitu matata
Have a good day mkuu.
 
Watu wengi wasichojua ni kuwa sehem km Las vegas unaweza kulipia halaf ukapata service km hizo,mange atawaingiza watu chaka baada ya kushindwa bifu na dudubaya
Are you serious? Yani watu milioni 10 nchini wanajua unafanywa nyuma na wanaume halafu unasema ndo kashindwa mpambano
 
yani mtu kazalishwa mitoto miwili halafu mi niende hapohapo,mabinti wameisha hadi nifate mmama mwenye lundo la mitoto ,sio kwa makombo hayo
Wivuuuu mwanaume wivuuu hamisa hata achakaeje uki mwomba akupi
 
Wivuuuu mwanaume wivuuu hamisa hata achakaeje uki mwomba akupi
waliomla wote walim'baka? si aliwavulia chupi kiroho safi,hata mimi nikiweka mzigo mrefu hachomoki sema tu kupiga mmama mwenye lundo la mitoto tena baba tofauti aisee kwangu ni ngumu sana,unadhani mababa wa hao watoto wakiamua kumgegeda kwa njia ya kujifanya anafatilia maendeleo ya mtoto atachomoa?
 
Kwanini achomoe
 
Unapotafuta kumuumiza Ex wako ni dhahiri bado unampenda na unajaribu kutengeneza Amani ya plastiki. Njia sahihi ni kutafuta suluhu nae mpatane ama ufanye mambo yako bila kumjali.
 
Mange kashachukua mkwanja wake hapo siku zinasonga
 
Huyo Hamisa ni disii wa wapi kwani...[emoji30][emoji30]
 
yani mtu kazalishwa mitoto miwili halafu mi niende hapohapo,mabinti wameisha hadi nifate mmama mwenye lundo la mitoto ,sio kwa makombo hayo
Kwani mtu akizalishwa huwa kuna kitu kinakuwa kimeharibika na hivyo hatakiwi kuchukuliwa na mwingine! kwahiyo unataka kutuambia nini kuhusu bosi wa WCB alivyomchukua Zari..?
 
Kwani mtu akizalishwa huwa kuna kitu kinakuwa kimeharibika na hivyo hatakiwi kuchukuliwa na mwingine! kwahiyo unataka kutuambia nini kuhusu bosi wa WCB alivyomchukua Zari..?
yap bint ambaye hajazaa maungo yake huwezi kufananisha na mwanamke aliyezalishwa ndio maana kuna baadhi ya wanawake wanalazimisha wajifungue kwa operation na kuna baadhi hawataki kabisa kunyonyesha.
kuhusu diamond na zari ,kila mtu alikua opportunist kwa mwenzie walivyogunduana kila mtu kalala mbele ,ila hasara kubwa ipo kwa zari aliyezalishwa wtoto wa tano cjui nani atamfata kwa mapenzi ya dhati labda mtu afate fursa
 
Back
Top Bottom