mnaamini kila kitu, hivi mtu aongee ujinga huo then arushe?Mnisahihishe kizungu hapo kwenye heading km mmekosea mana lugha ya malkia hii!!
Tusiandike mabaya yake pia na mema tuyaone pia!! Hamissa na deo kithama watakua wao ndo ma host kwenye Miss Tanzania 2018 pale DICC...
Karibuni wote watanzania....!!!Uchawu naona unalipaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sana tu makuzi mengi!
Hivi kwanini anaitwa tununu jamani...mwenzenu nimechelewaNimeona mama Tununu wetu anapanda chati daily