Hamisa official host for Miss Tanzania 2018

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Mnisahihishe kizungu hapo kwenye heading km mmekosea mana lugha ya malkia hii!!

Tusiandike mabaya yake pia na mema tuyaone pia!! Hamissa na deo kithama watakua wao ndo ma host kwenye Miss Tanzania 2018 pale DICC...

Karibuni wote watanzania....!!!Uchawu naona unalipaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
mnaamini kila kitu, hivi mtu aongee ujinga huo then arushe?
hapo mtu alikuwa na jambo lake alitaka atensheni ya wajinga tu.
Hili la pili huenda ndio hasa alilenga
 
Mi sijui sasa king wao wanadai mchawii
 
Back
Top Bottom