watakuwa jokate na wemaMajaji ni akina nani??
Nchi ya ajabu hii..! Hilo shindani lenyewe linaongozwa na wadangaji why wasipeane shavu? Ata hao mamiss ni wadangaji wote tuuIla Tanzania tunawapandishaga chati maempty box, huyu dada kuna siku nilitembelea instagram yake nilichoka, yaani ni mipasho tu, maneno ya kwenye kanga tu, kiingereza kisichokuwa na maana, yaani kiufupi ni Tabula rasa.
Kwa wanaomshabikia wajiandae kuwa disappointed.
Duuuh mtoto mzuri inaonekana unawajua vema hawa watoto wa kike wenzio.Nchi ya ajabu hii..! Hilo shindani lenyewe linaongozwa na wadangaji why wasipeane shavu? Ata hao mamiss ni wadangaji wote tuu
Fikiria:
Sepetuko
Njoketi
Nsumari
Mke wa mzee machache
Nkota mke wa nyarandua
Yupo huyo miss wa zamani basillia
Wote hawa wote wameishi mjini muda wote kwa kudanga.
Sasa wewe ulidhani ndiwe mrembo kutupita wote..?Duuuh mtoto mzuri inaonekana unawajua vema hawa watoto wa kike wenzio.
Duh lugha gongana.Sasa wewe ulidhani ndiwe mrembo kutupita wote..?
Kichwa kikubwa hiki dogo!Duh lugha gongana.
Duuh! I see.Kichwa kikubwa hiki dogo!
Hivi kwanini anaitwa
tununu jamani...mwenzenu nimechelewa
Hivi kwanini anaitwa
tununu jamani...mwenzenu nimechelewa
Huko Instagram na Facebook kuna viingilishi huko maana hakuna aliyesoma shule ya kata wote ni watoto wa English Mediums.Ila Tanzania tunawapandishaga chati maempty box, huyu dada kuna siku nilitembelea instagram yake nilichoka, yaani ni mipasho tu, maneno ya kwenye kanga tu, kiingereza kisichokuwa na maana, yaani kiufupi ni Tabula rasa.
Kwa wanaomshabikia wajiandae kuwa disappointed.
Sasa hilo la ku host ni jambo zuri?Mnisahihishe kizungu hapo kwenye heading km mmekosea mana lugha ya malkia hii!!
Tusiandike mabaya yake pia na mema tuyaone pia!! Hamissa na deo kithama watakua wao ndo ma host kwenye Miss Tanzania 2018 pale DICC...
Karibuni wote watanzania....!!!Uchawu naona unalipaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]