Hamisa official host for Miss Tanzania 2018

Hamisa official host for Miss Tanzania 2018

Ila Tanzania tunawapandishaga chati maempty box, huyu dada kuna siku nilitembelea instagram yake nilichoka, yaani ni mipasho tu, maneno ya kwenye kanga tu, kiingereza kisichokuwa na maana, yaani kiufupi ni Tabula rasa.
Kwa wanaomshabikia wajiandae kuwa disappointed.
Nchi ya ajabu hii..! Hilo shindani lenyewe linaongozwa na wadangaji why wasipeane shavu? Ata hao mamiss ni wadangaji wote tuu

Fikiria:

Sepetuko
Njoketi
Nsumari
Mke wa mzee machache
Nkota mke wa nyarandua
Yupo huyo miss wa zamani basillia

Wote hawa wote wameishi mjini muda wote kwa kudanga.
 
Duuuh mtoto mzuri inaonekana unawajua vema hawa watoto wa kike wenzio.
 
Ila Tanzania tunawapandishaga chati maempty box, huyu dada kuna siku nilitembelea instagram yake nilichoka, yaani ni mipasho tu, maneno ya kwenye kanga tu, kiingereza kisichokuwa na maana, yaani kiufupi ni Tabula rasa.
Kwa wanaomshabikia wajiandae kuwa disappointed.
Huko Instagram na Facebook kuna viingilishi huko maana hakuna aliyesoma shule ya kata wote ni watoto wa English Mediums.
Utasikia “I’m happy with you”
 
Mnisahihishe kizungu hapo kwenye heading km mmekosea mana lugha ya malkia hii!!

Tusiandike mabaya yake pia na mema tuyaone pia!! Hamissa na deo kithama watakua wao ndo ma host kwenye Miss Tanzania 2018 pale DICC...

Karibuni wote watanzania....!!!Uchawu naona unalipaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sasa hilo la ku host ni jambo zuri?
 
Back
Top Bottom