Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

Kigwa kapata Kiki ya kutafuta uwaziri... hii nchi Ccm wanatufundisha kuwa waoga wa kuhoji na waoga wa kutoa maoni hasa yakiwa tofauti na ya watawala!! This is stupid nonsense... tujifunze kukubali kutofautiana hoja na ikiwa hivyo tutajenga taifa la critical thinkers sio walamba visigino vya watawala.
1.) Kigwaa aliwahi kupinga na kuandamana kulekwao mbona hakufukuzwa au anadhani yeye nimtanzania maalumu sana?
2.) Anahoji uhalali wa Bashiru kuwa Ccm kwani yeye anahati miliki ya Ccm?
Tunao baadhi ya wabunge wajinga saana!!
 
Kigwangala ndo wakwanza kumsifia bi tozo kuwa anaupiga mwingi .sishangai kijeli zake hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…