Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni chawi la kikonongo tuHuyu Kigwangalla! ni mchawi asiye na hayaView attachment 2423275
Chawa mkubwa huyu kigangwalaNUKUU ZA MHE.DR. HAMISI KIGWANGALLA, MBUNGE WA NZEGA, AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU KUPITIA CHOMBO CHA HABARI CHA MANYUNYU TV LEO MCHANA TAREHE 21,NOVEMBA 2022
"Hapo nyuma wakulima walilima tu bila kuangalia ubora wa mbegu na ardhi ila Mhe.Rais ametambua umuhimu wa huduma ya afisa ugani ndio maana ameweza kuongeza bajeti kutoka millioni 603 hadi bilioni 15 hii ni kutambua umuhimu wa ugani katika kuongeza au kulipa faida zao shambani "
"Rais samia anafanya mengi sana Mnyonge Mnyongeni ila haki yake mpeni, kuna watu wengi sana ambao wanatumia mwanya huu kupotosha sana Watanzania kwa nia zao mbovu wanazozijua wao "
"Watu wengi sana nyumbani kwa kina Dkt. Bashiru walikuwa wanatorosha kahawa kwenda Uganda ila Mhe.Rais ameboresha utawala bora na kuifungua nchi ndio maana Leo hii mazao yetu yanapata soko zuri ndani na nje ya nchi nakufanya wakulima kunufaika nayo "
" Dkt.Bashiru kwasababu sio mkulima ndio maana hajui kwamba mbolea na pembejeo hapo nyuma zilikuwa bei kubwa ila kwasasa zimeshuka sana, msimu uliopita tulinunua mbolea kiroba kimoja 150,000/= ila mwaka huu kutokana na Ruzuku tunanunua 70,000/= hili bashiru hawezijua kwasababu sio mkulima "
" Kutokana na maelezo aliyotoa Dkt. Bashiru kwa wakulima wadogo wadogo inaonesha dhahili kwa Bashiru hana uelewa na sekta ya kilimo hivyo kabla hajaongea chochote awaulize wakulima na wataalam wa sekta ya kilimo kabla hajaropoka mbele ya umati wa watu "
" Nashangaa sana kuona Dkt.Bashiru kuongea maneno yale ya uwongo kuhusu watawala wakati na yeye alishakuwa mtawala na kupewa nyadhifa mbalimbali serikalini unawezaje sema watawala wake na yeye ni sehem moja ya watawala "
" Dkt.Bashiru alishawahi kuwa mwanachama wa CUF hapo nyuma na alivyokuja CCM hatukuona akirudisha kadi yake wala kuichoma na kwasababu aliteuliwa na kiongozi wetu mkuu kuwa katibu tuliheshimu mamlaka , sasa kama anahisi sio mwenzetu aseme tujua tunamweka kundi lipi na sio kutuchanganya kwa maneno ya uwongo "
" Dkt.Bashiru kipindi cha nyuma akiwa katibu mkuu alishawahi kumshambulia Waziri mkuu mbele ya kikao cha wabunge kitu ambacho sio sawa sisi tulishangaa sana ila tuliheshimu Mamlaka aliyopewa, sasa yeye kama hawezi kuheshimu Mamlaka iliyopo sasa tutamfundisha namna ya kuheshimu na kumkumbusha aliyofanya yeye kipindi cha nyuma"
" Tunashangaa sana kumwona Dkt.Bashiru akikasirika sisi kumsifia Rais wakati anafanya mambo mazuri wakati yeye ndiye aliyetufundisha kumsifia Rais akifanya mazuri, sasa kama yeye anaumia wakati huu ni bora akae kimya tu na sio kutoka hadharani kuongea maneno ya uchochezi "
"Kama Dkt.Bashiru atakuwa anajitambua basi ajitadhimini, aombe radhi kwa Watanzania pia aandike barua ya kuachia nafasi ya ubunge wapewe watu wengine wanaostahiri na yeye aendelee kufanya harakati huko nje "
Yaani hii nchi tuna hasara kubwa sana. Huyu ni msomi kabisa Dr. Bora aliacha kutibu watu akaenda kufanya siasa
Pumbafu sana weweHatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Aliyoandika Kigwangalla kwenye account ya Twitter
Mkiendelea kubisha, kesho ntaenda Serena Press conference nikiwa na nakala ya kadi ya CUF ya Bashiru! Nasisitiza, mlio karibu naye mwambieni aombe radhi na kisha ajiuzulu! Amepuyanga mno kumsema Rais na mfumo mzima kwa hoja za kichochezi zisizo na ushahidi. No one does that.
----

Kujipendekeza tu !!Kigwangala juwa kwa sasa hina nafasi tena ndani ya ccm upande wa serikali wewe na msukuma na lusinde mmekuwa watu wa kutoa maneno ya dhihaka kwa watu ambao wanatoa maoni yao tena kwa kuikosoa serikali
Nachojiuliza serikali isipokosolewa itajirekebisha vipi leo katika mkutano wako na waandishi wa habari badala ya kujibu hoja umeanza kuuliza kadi yake ya CUf je pamoja na yote kwani CCM ni mali ya mtu hadi ufikie kuuliza vitu hivyo! ndani ya ccm kuna watu wanaojitambua huwezi ona wanakuwa waropokaji kama kigwangala na genge lenu, kinana na mama anawachora tu anajuwa nyie mnandimi mbili hamna msaada
Nilitegemea ungejibu hoja za dr.bashiru nimeshangaa sana kuona unaenda kuuliza kadi ya CUF , CCm kuweni makini na watu wa aina hii yakina magwangala na msukuma ni watu hatari sana katika nchi na hawa kwa maoni yangu ni bora vyeo walivyonavyo vibaki hapohapo maana hao wangekuwa na uwezo wakushika nyasifa za juu watu wanaweza kutembea bila kuongea maana hawapendi watu wanaotoa maoni.
Dakta Bashiru pia amshukuru sana SSH kumpa ubunge maalum kwani angeweza kumtupa mtaani akarudi kule kule kufundisha chuo kikuu, awe kama mtu mwenye shukrani na mwenye kujielewa kichwani.Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?