Yani Hawa mbwa wa magumashi Wana viele elee hatareee, ebu cheki bashite, kingwalangwala, masuniYeye Cheti halali cha shule alirudisha maana tulisikia tu anaitwa Andrew Kigwangalla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Hawa mbwa wa magumashi Wana viele elee hatareee, ebu cheki bashite, kingwalangwala, masuniYeye Cheti halali cha shule alirudisha maana tulisikia tu anaitwa Andrew Kigwangalla
Sijawahi kuona mtu mwenye akili za mbwa Koko kama huyu mnyamwezi alielelewa na mama hadi ukubwani Hamis wa kufoji, ana kiu na uwaziri, status imeshuka sana.Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Aliyoandika Kigwangalla kwenye account ya Twitter
Mkiendelea kubisha, kesho ntaenda Serena Press conference nikiwa na nakala ya kadi ya CUF ya Bashiru! Nasisitiza, mlio karibu naye mwambieni aombe radhi na kisha ajiuzulu! Amepuyanga mno kumsema Rais na mfumo mzima kwa hoja za kichochezi zisizo na ushahidi. No one does that.
----
"Hapo nyuma wakulima walilima tu bila kuangalia ubora wa mbegu na ardhi ila Mhe.Rais ametambua umuhimu wa huduma ya afisa ugani ndio maana ameweza kuongeza bajeti kutoka millioni 603 hadi bilioni 15 hii ni kutambua umuhimu wa ugani katika kuongeza au kulipa faida zao shambani "
"Rais samia anafanya mengi sana Mnyonge Mnyongeni ila haki yake mpeni, kuna watu wengi sana ambao wanatumia mwanya huu kupotosha sana Watanzania kwa nia zao mbovu wanazozijua wao "
"Watu wengi sana nyumbani kwa kina Dkt. Bashiru walikuwa wanatorosha kahawa kwenda Uganda ila Mhe.Rais ameboresha utawala bora na kuifungua nchi ndio maana Leo hii mazao yetu yanapata soko zuri ndani na nje ya nchi nakufanya wakulima kunufaika nayo "
" Dkt.Bashiru kwasababu sio mkulima ndio maana hajui kwamba mbolea na pembejeo hapo nyuma zilikuwa bei kubwa ila kwasasa zimeshuka sana, msimu uliopita tulinunua mbolea kiroba kimoja 150,000/= ila mwaka huu kutokana na Ruzuku tunanunua 70,000/= hili bashiru hawezijua kwasababu sio mkulima "
" Kutokana na maelezo aliyotoa Dkt. Bashiru kwa wakulima wadogo wadogo inaonesha dhahili kwa Bashiru hana uelewa na sekta ya kilimo hivyo kabla hajaongea chochote awaulize wakulima na wataalam wa sekta ya kilimo kabla hajaropoka mbele ya umati wa watu "
" Nashangaa sana kuona Dkt.Bashiru kuongea maneno yale ya uwongo kuhusu watawala wakati na yeye alishakuwa mtawala na kupewa nyadhifa mbalimbali serikalini unawezaje sema watawala wake na yeye ni sehem moja ya watawala "
" Dkt.Bashiru alishawahi kuwa mwanachama wa CUF hapo nyuma na alivyokuja CCM hatukuona akirudisha kadi yake wala kuichoma na kwasababu aliteuliwa na kiongozi wetu mkuu kuwa katibu tuliheshimu mamlaka , sasa kama anahisi sio mwenzetu aseme tujua tunamweka kundi lipi na sio kutuchanganya kwa maneno ya uwongo "
" Dkt.Bashiru kipindi cha nyuma akiwa katibu mkuu alishawahi kumshambulia Waziri mkuu mbele ya kikao cha wabunge kitu ambacho sio sawa sisi tulishangaa sana ila tuliheshimu Mamlaka aliyopewa, sasa yeye kama hawezi kuheshimu Mamlaka iliyopo sasa tutamfundisha namna ya kuheshimu na kumkumbusha aliyofanya yeye kipindi cha nyuma"
" Tunashangaa sana kumwona Dkt.Bashiru akikasirika sisi kumsifia Rais wakati anafanya mambo mazuri wakati yeye ndiye aliyetufundisha kumsifia Rais akifanya mazuri, sasa kama yeye anaumia wakati huu ni bora akae kimya tu na sio kutoka hadharani kuongea maneno ya uchochezi "
"Kama Dkt.Bashiru atakuwa anajitambua basi ajitadhimini, aombe radhi kwa Watanzania pia aandike barua ya kuachia nafasi ya ubunge wapewe watu wengine wanaostahiri na yeye aendelee kufanya harakati huko nje "
Nafiri hoja ujibiwa kwa hoja sio kwa hoja isiyokuwepo.Ukienda mahakamani ukaambiwa umeiba na jitetee.Ww unasema jirani yangu nae aliniibia Jana.Utakuwa haujajibu hoja.Issue niii... mbona bwana Kakurwa alikua hakosoi harakati za Jiwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeye cheti cha watu cha shule alichoiba amerudisha lini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fikiria Kigwangalla angeruhusiwa kutibu pale Muhimbili, wangekufa wengi kwa dozi ya tukutuku
Huku kitaa wanasema eti jina lake orijino anaitwa Andrea 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Yeye cheti cha watu cha shule alichoiba amerudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Aliyoandika Kigwangalla kwenye account ya Twitter
Mkiendelea kubisha, kesho ntaenda Serena Press conference nikiwa na nakala ya kadi ya CUF ya Bashiru! Nasisitiza, mlio karibu naye mwambieni aombe radhi na kisha ajiuzulu! Amepuyanga mno kumsema Rais na mfumo mzima kwa hoja za kichochezi zisizo na ushahidi. No one does that.
----
"Hapo nyuma wakulima walilima tu bila kuangalia ubora wa mbegu na ardhi ila Mhe.Rais ametambua umuhimu wa huduma ya afisa ugani ndio maana ameweza kuongeza bajeti kutoka millioni 603 hadi bilioni 15 hii ni kutambua umuhimu wa ugani katika kuongeza au kulipa faida zao shambani "
"Rais samia anafanya mengi sana Mnyonge Mnyongeni ila haki yake mpeni, kuna watu wengi sana ambao wanatumia mwanya huu kupotosha sana Watanzania kwa nia zao mbovu wanazozijua wao "
"Watu wengi sana nyumbani kwa kina Dkt. Bashiru walikuwa wanatorosha kahawa kwenda Uganda ila Mhe.Rais ameboresha utawala bora na kuifungua nchi ndio maana Leo hii mazao yetu yanapata soko zuri ndani na nje ya nchi nakufanya wakulima kunufaika nayo "
" Dkt.Bashiru kwasababu sio mkulima ndio maana hajui kwamba mbolea na pembejeo hapo nyuma zilikuwa bei kubwa ila kwasasa zimeshuka sana, msimu uliopita tulinunua mbolea kiroba kimoja 150,000/= ila mwaka huu kutokana na Ruzuku tunanunua 70,000/= hili bashiru hawezijua kwasababu sio mkulima "
" Kutokana na maelezo aliyotoa Dkt. Bashiru kwa wakulima wadogo wadogo inaonesha dhahili kwa Bashiru hana uelewa na sekta ya kilimo hivyo kabla hajaongea chochote awaulize wakulima na wataalam wa sekta ya kilimo kabla hajaropoka mbele ya umati wa watu "
" Nashangaa sana kuona Dkt.Bashiru kuongea maneno yale ya uwongo kuhusu watawala wakati na yeye alishakuwa mtawala na kupewa nyadhifa mbalimbali serikalini unawezaje sema watawala wake na yeye ni sehem moja ya watawala "
" Dkt.Bashiru alishawahi kuwa mwanachama wa CUF hapo nyuma na alivyokuja CCM hatukuona akirudisha kadi yake wala kuichoma na kwasababu aliteuliwa na kiongozi wetu mkuu kuwa katibu tuliheshimu mamlaka , sasa kama anahisi sio mwenzetu aseme tujua tunamweka kundi lipi na sio kutuchanganya kwa maneno ya uwongo "
" Dkt.Bashiru kipindi cha nyuma akiwa katibu mkuu alishawahi kumshambulia Waziri mkuu mbele ya kikao cha wabunge kitu ambacho sio sawa sisi tulishangaa sana ila tuliheshimu Mamlaka aliyopewa, sasa yeye kama hawezi kuheshimu Mamlaka iliyopo sasa tutamfundisha namna ya kuheshimu na kumkumbusha aliyofanya yeye kipindi cha nyuma"
" Tunashangaa sana kumwona Dkt.Bashiru akikasirika sisi kumsifia Rais wakati anafanya mambo mazuri wakati yeye ndiye aliyetufundisha kumsifia Rais akifanya mazuri, sasa kama yeye anaumia wakati huu ni bora akae kimya tu na sio kutoka hadharani kuongea maneno ya uchochezi "
"Kama Dkt.Bashiru atakuwa anajitambua basi ajitadhimini, aombe radhi kwa Watanzania pia aandike barua ya kuachia nafasi ya ubunge wapewe watu wengine wanaostahiri na yeye aendelee kufanya harakati huko nje "
Sidhani kama huko chuo kikuu watampokea tena maana nako wamejaa makada watupuBashiru amaeona kinachoendelea labda ni ujingauninga tu,kawa karibu na JPM,kashika nyadhifa nzito,anafanya comparison ya JPM na SHS,anaona machawa wanazingua sana.,ndiyomaana kasema hivyo alivyosema.Hawamuwezi kwa lolote,atarudi kufundisha Kama kawaida,yeye siyo kama ambao siasa kwao ni kila kitu.
Ataenda hata nje,au atajikita kwenye uchambuzi wa masuala ya siasa.Bashiru wa kabla ya kuingia madarakani,ni tofauti na huyu wa sasa,pesa anayo ya waziwazi na ya sirini.Sidhani kama huko chuo kikuu watampokea tena maana nako wamejaa makada watupu
Kingwangwala kawa chawa anadhani mama atampa tena ulaji wa pori kwa pori, alishaonja asali, si ajabu Mo alimpiga za uso, Kingwangwala tapeli na mla rushwa alitumia mamilioni ya pesa pale wizara ya utalii kwa kujifanya ana promote utalii, badala ya mabango kuweka vivutio yeye akaweka lisula lake zito, leo hii bila soni nae anajifanya muadilifu na mtiifu kwa mamlaka! huyu si ndie aligombana na hata katibu mkuu wake kwa ulafi wake.Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?