Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Atakula wapi?Bashiru kama yumo ajiuzuru tu ubunge
Itabidi mbanane hivyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakula wapi?Bashiru kama yumo ajiuzuru tu ubunge
Hao kina shangazi ndio wapiga Kura? Humu kwenye mitandao huwa mnajifariji Sana
Yeye cheti cha watu cha shule alichoiba amerudisha lini?
Pia aitishe press conference kuhusu hizi rushwa zinazotolewa hadharani na wagombea wa CCM hivi sasa huko mikoani, awataje hao wanaotoa rushwa huku wakiwa na kadi za CCM.Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Aliyoandika Kigwangalla kwenye account ya Twitter
Mkiendelea kubisha, kesho ntaenda Serena Press conference nikiwa na nakala ya kadi ya CUF ya Bashiru! Nasisitiza, mlio karibu naye mwambieni aombe radhi na kisha ajiuzulu! Amepuyanga mno kumsema Rais na mfumo mzima kwa hoja za kichochezi zisizo na ushahidi. No one does that
Ajihuzuru kisa mabwege ya CCMBashiru kama yumo ajiuzuru tu ubunge
Ndio maana nimekwambia nyie wa mitandaoni tukipiga kura humu huwa Chadomo inaongoza ila kitaa Sasa mnapigwa Kama mbwaWapiga kura ndio sisi ambao tupo kizani na maji ni shida....yaaani tunatamani JPM afufuke...
Ndio maana nimekwambia nyie wa mitandaoni tukipiga kura humu huwa Chadomo inaongoza ila kitaa Sasa mnapigwa Kama mbwa

NUKUU ZA MHE.DR. HAMISI KIGWANGALLA, MBUNGE WA NZEGA, AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU KUPITIA CHOMBO CHA HABARI CHA MANYUNYU TV LEO MCHANA TAREHE 21,NOVEMBA 2022
"Hapo nyuma wakulima walilima tu bila kuangalia ubora wa mbegu na ardhi ila Mhe.Rais ametambua umuhimu wa huduma ya afisa ugani ndio maana ameweza kuongeza bajeti kutoka millioni 603 hadi bilioni 15 hii ni kutambua umuhimu wa ugani katika kuongeza au kulipa faida zao shambani "
"Rais samia anafanya mengi sana Mnyonge Mnyongeni ila haki yake mpeni, kuna watu wengi sana ambao wanatumia mwanya huu kupotosha sana Watanzania kwa nia zao mbovu wanazozijua wao "
"Watu wengi sana nyumbani kwa kina Dkt. Bashiru walikuwa wanatorosha kahawa kwenda Uganda ila Mhe.Rais ameboresha utawala bora na kuifungua nchi ndio maana Leo hii mazao yetu yanapata soko zuri ndani na nje ya nchi nakufanya wakulima kunufaika nayo "
" Dkt.Bashiru kwasababu sio mkulima ndio maana hajui kwamba mbolea na pembejeo hapo nyuma zilikuwa bei kubwa ila kwasasa zimeshuka sana, msimu uliopita tulinunua mbolea kiroba kimoja 150,000/= ila mwaka huu kutokana na Ruzuku tunanunua 70,000/= hili bashiru hawezijua kwasababu sio mkulima "
" Kutokana na maelezo aliyotoa Dkt. Bashiru kwa wakulima wadogo wadogo inaonesha dhahili kwa Bashiru hana uelewa na sekta ya kilimo hivyo kabla hajaongea chochote awaulize wakulima na wataalam wa sekta ya kilimo kabla hajaropoka mbele ya umati wa watu "
" Nashangaa sana kuona Dkt.Bashiru kuongea maneno yale ya uwongo kuhusu watawala wakati na yeye alishakuwa mtawala na kupewa nyadhifa mbalimbali serikalini unawezaje sema watawala wake na yeye ni sehem moja ya watawala "
" Dkt.Bashiru alishawahi kuwa mwanachama wa CUF hapo nyuma na alivyokuja CCM hatukuona akirudisha kadi yake wala kuichoma na kwasababu aliteuliwa na kiongozi wetu mkuu kuwa katibu tuliheshimu mamlaka , sasa kama anahisi sio mwenzetu aseme tujua tunamweka kundi lipi na sio kutuchanganya kwa maneno ya uwongo "
" Dkt.Bashiru kipindi cha nyuma akiwa katibu mkuu alishawahi kumshambulia Waziri mkuu mbele ya kikao cha wabunge kitu ambacho sio sawa sisi tulishangaa sana ila tuliheshimu Mamlaka aliyopewa, sasa yeye kama hawezi kuheshimu Mamlaka iliyopo sasa tutamfundisha namna ya kuheshimu na kumkumbusha aliyofanya yeye kipindi cha nyuma"
" Tunashangaa sana kumwona Dkt.Bashiru akikasirika sisi kumsifia Rais wakati anafanya mambo mazuri wakati yeye ndiye aliyetufundisha kumsifia Rais akifanya mazuri, sasa kama yeye anaumia wakati huu ni bora akae kimya tu na sio kutoka hadharani kuongea maneno ya uchochezi "
"Kama Dkt.Bashiru atakuwa anajitambua basi ajitadhimini, aombe radhi kwa Watanzania pia aandike barua ya kuachia nafasi ya ubunge wapewe watu wengine wanaostahiri na yeye aendelee kufanya harakati huko nje "
Kigwangalla among the TRASH on Tanzania’s Polu-tics!
Dr. Hamisi Kigwangalla
@HKigwangalla
"Mkiendelea kubisha, kesho ntaenda Serena Press conference nikiwa na nakala ya kadi ya CUF ya Bashiru! Nasisitiza, mlio karibu naye mwambieni aombe radhi na kisha ajiuzulu! Amepuyanga mno kumsema Rais na mfumo mzima kwa hoja za kichochezi zisizo na ushahidi. No one does that!"
Bashiru unashauriwa kuomba poo, umeshakuwa mpira wa kona!
Huyu Kigwangalla! ni mchawi asiye na hayaNUKUU ZA MHE.DR. HAMISI KIGWANGALLA, MBUNGE WA NZEGA, AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU KUPITIA CHOMBO CHA HABARI CHA MANYUNYU TV LEO MCHANA TAREHE 21,NOVEMBA 2022