Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

Mambo ya msingi kuuwa watu na kuwatupa kwenye viroba? Au ushamba wa kuteka watu kwako ndio mambo ya msingi?
Watu wanataka bei bidha ziwe himilivu
Umeme wa uhakika

Hao wapumbavu waliotupwa kwenye viroba sababu ya upumbavu wao wanachi haiwahusu.
 
Mambo ya msingi kuuwa watu na kuwatupa kwenye viroba? Au ushamba wa kuteka watu kwako ndio mambo ya msingi?
Huyu jamaa kipindi cha magu alikua anasifia kila kitu na kutukana watu humu leo anaita watu chawa
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Huu ni unafiki uliotukuka..!!
Kwahiyo mamlaka ikivunja katiba inabidi iheshimiwe?
 
Hoja ya Bashiru ilikua straight kwamba "hakuna sababu ya kumsifia mtu anapotimiza wajibu wake na haswa inapokua haki yako ya msingi."
 
Hajatoa hoja alikuwa anakejeri Rais,Mpina ametoa hoja umesikia Kuna mtu anamuandama?

Hoja za Mpina zinahitaji majibu sii upuuzi wa Bashiru.
Mimi nmekuambia hadi 2025 mtachanganyikiwa kabisa!

Siyo wewe hapa juzi ulikuwa unamtukana Mpina kwamba hana hoja yeyote, leo tena unasema ana hoja ya kujibiwa baada ya Bashiru kurusha jiwe gizani?
 
Kwa Nini? Safu si ndio zinapangwa Sasa hivi au?
 
Attachments

  • Screenshot_20221117-211933.png
    Screenshot_20221117-211933.png
    183.1 KB · Views: 2
Yeye cheti cha watu cha shule alichoiba amerudisha lini?
Hapana mkuu huyu jamaa hajaiba cheti mbali alirudia shule ya msingi akatumia jina la mtu mie huyu jamaa nimezipata taarfa zake Shinyanga sekondari (Shy-bush) kasoma pale vidato
 
Katibu mkuu CCM nae kuongea na wana habari! Ni ile kauli tu ndio imefurumua watu kiasi hiki?

Ukiona moshi ujue moto umewaka ....

..Je, Dr.Bashiru atatetea kauli na msimamo wake?

..Is he ready to pay the price and stand for what he said and believes?

..Gharama ninayoizungumza ni kushughulikiwa na dola kama inavyofanyika kwa wapinzani. Bashiru yuko tayari?

Cc Erythrocyte
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
ACHA UNAFIKI KIGWANGALAH HUO NDIO UNAFIKI WA KIWANGO CHA JUU KWANINI HAKUNA HATA MWANACCM ALIYEJITOKEZA KUULIZA KWENYE VIKAO VYA CHAMA CHENU?
 
Hoja ya Bashiru ilikua straight kwamba "hakuna sababu ya kumsifia mtu anapotimiza wajibu wake na haswa inapokua haki yako ya msingi."
Wakati Profesa Kabudi anamuita Magufuli Mungu huyu mpuuzi alikuwa wapi?
 
Hoja ya Bashiru ilikua straight kwamba "hakuna sababu ya kumsifia mtu anapotimiza wajibu wake na haswa inapokua haki yako ya msingi."

..tatizo Dr.Bashiru alikuwa muimba mapambio mkuu wa Raisi Magufuli.

..tabia ya uchawa iliota mizizi wakati Dr.Bashiru akiwa katibu mkuu wa Ccm.

..Na uchawa na kumuabudu Mwenyekiti ni utamaduni wa Ccm.
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Bado anaota uwaziri wa maliasili, CCM kila mtu ni kujikoma kwa watawala huku akivizia uteuzi
 
Back
Top Bottom