Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"

Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Godwin Mollel alirudisha lini kadi ya chama cha Chadema , wala namba ya kadi yake ya CCM
 
Inasikitisha sana
nchi haina maji wala umeme,viongozi wameshupalia kauli ya ukweli ya Dr Bashiru kila mtu anataka kuongea aonekane asiachwe kwenye teuzi.....KUJIKOMBA TU.
 
IMG_20221121_131752.jpg
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Yeye kadi yake ya CHADEMA alirudisha lini? huwa najiuliza mtu na akili zako unaenda kumchagua Lusinde kweli?
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Ungekuwa na hoja kama ungehoji haya kabla ya Bashiru kueleza watanzania ukweli.
Dr anapogeuka chawa anaaibisha taasisi ya elimu ya juu nchini.
View attachment 2423071
 
Hizi sarakasi zinazoendelea ngoja tuandae popcorn [emoji897] , Dr Bashiru atapigwa pressure hadi ajiuzuru!

View attachment 2423008
kigwangala ni mpuuz kama walivyo wapuuz wengine huko ccm yeye anahoji kama nani kuhusu namba ya kadi sasa atueleze namba ya chongolo ni ngap, atueleze namba ya kinana ni ngap, atueleze namba ya makamba yule mzee ni ngap, atueleze namba ya wilson mkama ni ngap, atueleze namba ya mwenyekit wao yule mpenda uzururaji na mavaz ya fasion mbalimbali ni ngap. Asipotueleza namba za hao huyo kigwangala nitaendelea kumuona poyoyo tu kama hayo ya mama anaupiga mwing huku yakilalama.
 
Katibu mkuu CCM nae kuongea na wana habari! Ni ile kauli tu ndio imefurumua watu kiasi hiki?

Ukiona moshi ujue moto umewaka ....
Dr Bashiru alipaswq kujuwa kwamba sponsor alishakufa anapaswa kujiupdate.

Ni kweli Dr Bashiru ni mwanachama wa CUF, kama ana kadi ya Ccm ni ile ya zamani enzi ya chama kimoja huwezi kusoma Chuo bima kadi ya Ccm.

Hata Tundu Lisu wakati anaendesha kampeni za mabadiriko kwa siasa za upinzani alikuwa Nccr Mageuzi baadaye yeye na wenzake ndio wakashtuka kumbe Tundu Lisu hana kadi ndio wakampa kadi ya Nccr Mageuzi.

Hicho ndicho kilichotokea Ccm pia ikavamiwa na wahamiaji ambao siyo wana Ccm ni wafuasi wa upinzani ambao ni Dr Bashiru na Humphrey Polepole.

Ningemuona Bashiru ana angalau chembe za akili angetumia nafasi hiyo kuuvunja mfumo dola lakini badala yake akawa chawa pro max wa Magufuli na akashiriki kubariki uporaji wa Mali za umma kumilikishwa Ccm kwa kile walichokiita uhakiki wa Mali za chama.

Naunga mkono Dr Bashiru asurubiwe ili iwe fundisho kwa ndumilakuwili wote.
 
kigwangala ni mpuuz kama walivyo wapuuz wengine huko ccm yeye anahoji kama nani kuhusu namba ya kadi sasa atueleze namba ya chongolo ni ngap, atueleze namba ya kinana ni ngap, atueleze namba ya makamba yule mzee ni ngap, atueleze namba ya wilson mkama ni ngap, atueleze namba ya mwenyekit wao yule mpenda uzururaji na mavaz ya fasion mbalimbali ni ngap. Asipotueleza namba za hao huyo kigwangala nitaendelea kumuona poyoyo tu kama hayo ya mama anaupiga mwing huku yakilalama.
Soma post yangu #52
 
Dr Bashiru alipaswq kujuwa kwamba sponsor alishakufa anapaswa kujiupdate.

Ni kweli Dr Bashiru ni mwanachama wa CUF, kama ana kadi ya Ccm ni ile ya zamani enzi ya chama kimoja huwezi kusoma Chuo bima kadi ya Ccm.

Hata Tundu Lisu wakati anaendesha kampeni za mabadiriko kwa siasa za upinzani alikuwa Nccr Mageuzi baadaye yeye na wenzake ndio wakashtuka kumbe Tundu Lisu hana kadi ndio wakampa kadi ya Nccr Mageuzi.

Hicho ndicho kilichotokea Ccm pia ikavamiwa na wahamiaji ambao siyo wana Ccm ni wafuasi wa upinzani ambao ni Dr Bashiru na Humphrey Polepole.

Ningemuona Bashiru ana angalau chembe za akili angetumia nafasi hiyo kuuvunja mfumo dola lakini badala yake akawa chawa pro max wa Magufuli na akashiriki kubariki uporaji wa Mali za umma kumilikishwa Ccm kwa kile walichokiita uhakiki wa Mali za chama.

Naunga mkono Dr Bashiru asurubiwe ili iwe fundisho kwa ndumilakuwili wote.
Muosha uwoshwa hiyo.....

Arudi akashike chaki......

Ova
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Leo atashambuliwa na kila mtu lakini siku akiteuliwa kwa nafasi ya juu yataanza kujikomba
 
Bashiru amaeona kinachoendelea labda ni ujingauninga tu,kawa karibu na JPM,kashika nyadhifa nzito,anafanya comparison ya JPM na SHS,anaona machawa wanazingua sana.,ndiyomaana kasema hivyo alivyosema.Hawamuwezi kwa lolote,atarudi kufundisha Kama kawaida,yeye siyo kama ambao siasa kwao ni kila kitu.
Jamaa amesubiri uteuzi muda bilabila
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Shukrani za kijnga ni hasara kumuka RUSHWA NI ADUI WA HAKI.
 
Back
Top Bottom