Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Dr Slaa hakuwahi kurudisha KADI ya CCM alipohamia CDM.

Lowassa alipoenda CDM hakurudisha ya CCM.

KADI ni Mali ya mwanachama, akihama mnamfuta kwenye rejesta.

Badala ya kujibu HOJA za Bashiru mnauliza vijimaswali vya kipuuzi.
 
Fikiria Kigwangalla angeruhusiwa kutibu pale Muhimbili, wangekufa wengi kwa dozi ya tukutuku
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Mswahili mswahili tu..ndio mambo ya kuongea hayo? Ukiangalia sana yamejaa visasi au kwanini. Kama nchi press conference ziwe za agenda za kuleta maendeleo. Kusutana muende Lango la Jiji mkaimbiane taarabu za mafumbo.
Viongozi wa wananchi hawa.......
 
Hapa mnanikumbusha msemo wa yule mzee wa Shule ya siasa kwamba - Koleza moshi wahuni lazima wataibuka tu...
 
Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?

Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani"
Hamisi Kigwangalla: Dawa yako ni Prof Adolf Mkenda.

Dr Bashiru Sio size yako pia.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona daktari wa binadamu muongo kama Dr Hamisi Kigwangalla:
 
Back
Top Bottom