Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui mwekezaji Mo. Kigwangalla amelikomalia sana hili suala kana kwamba ana maslahi yoyote Simba zaidi ya kuwa shabiki tu.
Pamoja na haya yote ukweli ni kwamba Hamisi Kigwangalla hana "moral authority"/utashi wa kimaadili kudai mabadiliko anayoyataka Simba. Hamisi Kigangalla ambaye sio muumini wa uongozi wa mfumo imara anawezaje kudai, kutaka na kushinikiza uwepo wa mfumo imara wa uendeshaji/uongozi ndani ya Simba?!