Pre GE2025 Hamisi Kigwangalla: Nimeambiwa nafuatiliwa, ila naamini niko salama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
"Kujaribu kuninyamazisha haitosaidia kitu maana kama unahisi mimi najua kitu, ambacho sijakisema, jua na wengine wanajua." meaning kuniondoa/kuninyamazisha mie hakupunguzi/hakufuti madhara yanayoweza tokea. Ni siri iliyo wazi ye katangulia tu kusema πŸ˜‚....Tunaelekea wapi nchi hii?
 
Kigwangala, una mpango wa kujipiga risasi kama Lissu? Lissu alilalamika hivihivi juu ya mipango ovu dhidi yake. Mwisho wa siku tunajua kilichotokea. Cha ajabu ni hawahawa CCM wakaanza kumkejeli kwamba kajipiga risasi kutafuta umaarufu. Kuwa mwangalifu.
 
Ndugu yangu hamis kikulacho ki nguoni mwako! ile mijambazi iliyobeba pesa za DP world ina hela chafu kishenzi wakiongozwa na yule tumbili anyayejiita spika! Watakutisha sana! lakini mwisho wao uko mlangoni!
 
h
amisi andrea kigwangwala acha kiki
 
Kigwangwala anatafuta kiki tu afuatwe ana kitu gani.
 
Kigwa anatuchanganya tu, kwenye taarifa yake ya mwanzo hakutaja jina la yeyote, hapa tena anadai watu wake wanafuatiliwa na wasiojulikana, huyu mbona anatuzungusha tu...

Ni kama vile alijitungia story ambayo anaiendeleza kijanja bila kutaja jina la yeyote, sasa hao TAKUKURU na wengine wamfuatilie kwa kosa gani ikiwa hajamtaja yeyote mpaka sasa? wala hajalalamikiwa na yeyote mpaka sasa?!

Usanii wa siasa. Anataka ku trend tu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ndiyo ccm yako unayo jivunia kuwa nayo
 
Kigwangala hatatulia hadi apewe kitu! Mama anajua kila kitu!! Ni njaa tu inasumbua!! hakuna cha uzalendo wala nini! Ni kama Polepole alipopewa kitu (ubalozi wa Malawi) makelele ya wahuni hayakusikika tena!!
 
Ndugu karibu tarehe hiyooo tuwepamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…