kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Yeye alikwiba pesa nyingi sana hasemi!Kajamba kuhusu wazito kununua nyumba za mabilioni ya pesa huko Dubai na RSA sasa shuzi linamrudia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye alikwiba pesa nyingi sana hasemi!Kajamba kuhusu wazito kununua nyumba za mabilioni ya pesa huko Dubai na RSA sasa shuzi linamrudia.
Shida ni nini??
Nyani haoni kundule.Yeye alikwiba pesa nyingi sana hasemi!
Mnyamulenge!Uyo Faller anaongeaga Sana akishatolewa kwenye uwaziri, akirudishwa tu ana myuti Kama hayupo.
Uyo Ni mnafiki, namuonaga Ni limbukeni flani,afu mshamba flani mwenye wivu.
Sijajua uyo jamaa Ni kabila gani
... Teuzi hutafutwa hivi?Huyu anatafuta teuzi kwa kila hali. Haamini kuwa kawekwa benchi. Anapiga kelele ili aambiwe ‘njoo bwana tule wote, acha kelele’.
Sasa ukifuatiliwa na maccm wenzako Kuna shida gani!Nimeambiwa kuwa nafuatiliwa - sijui kwa lengo gani, lakini naamini niko salama. Mnaoniuliza msiwe na shaka. Kama nikiitwa TAKUKURU, Tume ya maadili, polisi n.k. siyo mambo ya ajabu, huko ni mahala salama. Watu wangu wa karibu wamekuwa wakipewa vitisho na watu ambao hawawezi kuwataja kuwa nafuatiliwa.
Nimekuwa nikishangaa na kushtuka, maana sina uadui na mtu, na sikutaja mtu. Kujaribu kuninyamazisha haitosaidia kitu maana kama unahisi mimi najua kitu, ambacho sijakisema, jua na wengine wanajua!
Kama umeficha vizuri, hakuna litakalokupata, maana TAKUKURU ama sekretariet ya maadili watataka ushahidi usio na shaka kabla ya kukupeleka kortini. Na siku zote ushahidi hautopatikana, na hivyo kama Jamhuri hatutokupata! Kama wewe ni kiongozi, jiulize tu ukishaiba mali nyingi sana ya umma unasikia raha gani? Utapeleka wapi? Utatumia zote hizo? Utazikwa nazo?
Halafu jiulize, mwenye kosa ni anayetoboa mtumbwi ama anayepiga yowe na kumsonteshea mtoboaji ili wasafiri wote tushtuke? Tumdhibiti?
Kushtuka shtuka namna hii inaonesha watu wanajishuku. Kunifuatilia na kutafuta kunitisha tisha mtanifanya nichambue hadharani taarifa za CAG, za TAKUKURU na michango ya wabunge bungeni nk. Humo kuna viashiria vingi sana vya rushwa na ubadhirifu, je kama Taifa mifumo yetu ya uwajibikaji imefanya kazi ipasavyo?
Nilipozungumza juu ya uwepo wa haja ya kuimarisha mifumo ya uwajibikaji na usimamizi wa mali ya umma, sikuwa na nia ya kumtaja mtu yeyote. Nilipenda kutoa maoni yangu tu juu ya haja ya kuimarisha mifumo/taasisi za uwajibikaji kama Taifa; aidha mifumo/taasisi za kifedha, na mifumo/taasisi za kisiasa. Kama hujaitazama ile interview, nenda kaitazame.
View attachment 2876430