Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,406
Reaction score
711
Kupitia akaunti ya Instagram ya E Fm (efmtanzania) wameandika haya

Hamisi Mandi B. Bozen, kati ya majina yake anayopenda ni The Navigator (msafiri). Kwenye safari hiyo kavusha wengi kiasi kwamba Tanzania ikampa nyota 12.

Ni wakati wa Navigator huyu kutua kwenye uwanja uliobeba ndoto na maono halisi ya mitaa na vijana wote wa Tanzania. Dozen Ametua efmtanzania na tvetanzania : kinachofuata ni kupaa juu sana, tuendelee kuruka na kuzipeleka kileleni ndoto za mitaa. Mafanikio zaidi ya Tanzania yetu yako mbele yetu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…