Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Sema chemistry ya Gadner na Kibonde ilikua kiboko
 
mmmmh...! czani kama kauli ile ya kumzifu Almasi ndio tatzo, na ktk hyo kauli kwa mm kichwa maji hata ckumuelewa
 
Sema chemistry ya Gadner na Kibonde ilikua kiboko
Kuna Gadna na Kibonde, Hando na PJ, Gea na Dinnah Marios, B12 na DJ Fetty na Mchomvu, Dauda na wenzake ( ingawa kwenye kipindi hiki si sana).
 
Na sehemu aliyoenda majizzo na platnumz hawapatani kabisa sasa tusitegemee habari za mondi pale. Bora hata angehamia radio ambayo iko huru kumtangaza yeyote bila kinyongo.. angeenda hata UFM ya bakhressa
 
Aisee ile chemistry ilikuwa bab kubwa,halafu wote wapiga ulabu na story zinaendana hadi zile salam mwaleko wakisema inanoga
Sema chemistry ya Gadner na Kibonde ilikua kiboko
 
Wimbo wao ule kila ijumaa ulikua nyoko..

Mbinguni hakuna bia
Ndo maana tupo hapa tunakunywa bia
Ukifa tutakunywa zako bia

Hawa wan walikua nuksi
Aisee ile chemistry ilikuwa bab kubwa,halafu wote wapiga ulabu na story zinaendana hadi zile salam mwaleko wakisema inanoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…