Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Alie achiwa viatu vya Ruge Naona vinampwaya Hakika Clouds imerudi hatua nyingi nyuma sanaa isije kuwa ndo tutaendelea kuwa sahau [emoji23][emoji23]
Seba Maganga yupo pale CMG miaka mingi sana hakuna kitu hajui
 
Unaweza ukawa sahihi ila kwa upande wa Maestro nadhani sio sahihi, nakumbuka Maestro pale Clouds fm mara nyingi kabla ya kuondoka alitumika kama mtangazaji anayefanya kipindi cha michezo wakipokezana na Alex Lwambano na wachambuzi wakiwa hasa Shafii na Jeff Leah kabla hajaenda Azam TV, lakini alipofika Efm akapewa nafasi ya uchambuzi wa soka akiwa na Oscar pamoja na Kawambwa, na hapo ndipo akaanza kupata hata dili za kwenda Africa Kusini kuchambua soka la ligi za nje kwa lugha ya Kiswahili. Nadhani hiyo imempa mafanikio. I stand to be corrected
 
"Mwisho kabisa HII NI SAFARI YA KUELEKEA Wasafi media".

Mkuu hapo sidhani maana pale kuna lily ommy anafanya kipindi chenye maudhui kama XXL rejea kwa Jonijo.
 
Nadhani Clouds hakuna mshahara na marupurupu kama wengi wanavyochukulia, ila wanachofanya wao hasa ni kuwahamasisha vijana wao kutumia fursa ya kuwa clouds kuanzisha biashara na mambo yao mengine na wao wanawapa platform ya kutangaza na kupigia promo bure
 
Safi sana B Dozen twangala Achana na hayo majuha.. ....YE BABA
 
Kama vile alipanga iwe hivyo akiwa tayari na uhakika wa kazi
Ukiangalia hii clip ndio utajua aliemuondoa kazini BDozen ndio huyo aliye zuia nyimbo za Diamond zisisipigwe na hiyo kauli aliitoa wiki iliyopita.

Sababu hata yeye mwenyewe alisema "nipo tayari kufukuzwa kazi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…