Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Mzee baba uneandika kinyonge sana
 
Wasafi Dozen atatangaza kipindi gani? kama watamtoa LIL pale sawa..
 
XXL ni kipindi chenye vipaji vingi mno,
Pale kuna
Adam Mchomvu
Fetty
Kennedy the remedy
hao wote hawashindwi kuendesha kipindi.
 
Twangara uminikosea mnoooo kutoka chaman Dabo xl bila ww sijui itakuwa vip
 
hapo kwenye salary ni BIIIIIG NO, ila wana encourage wafanyakazi hasa hawa wenye majina kutumia fursa ya kuwa pale kufungua biashara zao, watu pekee wanaoweza kuwa na salary nzuri ni wale ambao wametumia nguvu kuwachukua kutoka kwenye radio nyingine au kuwarudisha baada ya kuwa waliondoka clouds na si vinginevyo, alafu hiyo ya kusema eti B12 Efm sio level zake una maanisha nini? wakati zote ni radio, au kwa upeo wako unajiona wewe unaijua industry ya radio zaidi yake? kiasi kwamba unahisi ulikurupuka tu kutoka cluods kwenda Efm? tatizo kuna watu clouds imewapa utumwa wa mawazo kiasi kwamba mtu anaona bila clouds hakuna radio zingine, na huu utumwa umewaingia hada wasanii wenyewe mtu bila clouds anajiona hatafika popote
 
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji2380]
Usicheke inabidi utufafanulie sasa ile post yako ya kwanza anamfuata bebe gani wakati huyo ni mwanachama mwenzako? 😝 😝 😝 😝 😝
 
Halafu mi naona huyo jamaa atapotea wale clouds sijui wan nini si mnaona Diva tumemsahau fasta maana alijiona kile kipindi hakiwi kitamu kama hayupo.
Duh! Kumbe Diva alishasepa?
 
Hivi bado watu wanasikiliza redio? Wanasikilizia wapi?

Kwenye simu ama kwenye gari? Najua tecno ndio zina redio.

Aisee.
Kwani ving'amuzi havina radio?
Na App za radio mbona zipo nyingi tu? Wew hujui tu radio ina burudani ya aina yake.
 
Kuna kauli jamaa aliitoa nikajua tu watamfukuza
Lakini mbona kuna kipindi cha nyuma powerbreak fast walipiga ngoma za huyo msanii ambaye dozen alisema bora afukuzwe kwa kukubali shoo yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…