Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

Mimi siko kama wewe (sina zile tabia zako) no offense!
Bebe wa B12 namjua na nilishakutana nae 2018 NMB mwenge.

Acha kuzushia watu
Lol, none taken,

Kwani unawajua bebes wake wote?

You sound jealous hadi nimekushangaa,

Eti sina zile tabia zako, lol nani amekuuliza kuhusu wewe? Na utakuaje na tabia zangu ikiwa mapacha tu hawawezi kua na tabia sawa, [emoji23][emoji23]

[emoji2380]
 
Usicheke inabidi utufafanulie sasa ile post yako ya kwanza anamfuata bebe gani wakati huyo ni mwanachama mwenzako? [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Bebe gani? Ni bebe wake!.

Halafu mambo ya uanachama me sijui jamani, usinilishe maneno,

[emoji1316][emoji1316]
[emoji2380]
 
Bebe gani? Ni bebe wake!.

Halafu mambo ya uanachama me sijui jamani, usinilishe maneno,

[emoji1316][emoji1316]
[emoji2380]
sio mm nimesema ni Konki ndio kasema huo uwanachama mm nimemnukuu tu. 🤣 🤣 🤣
 
XXL ni kipindi chenye vipaji vingi mno,
Pale kuna
Adam Mchomvu
Fetty
Kennedy the remedy
hao wote hawashindwi kuendesha kipindi.
Umemsahau mnyama mkali perfect crispin video vixen wa naniliii
 
Cha msingi unaangalia umate umate kama kipaji anacho cha utangazaji,kila la kheri!! Mbona Hando amedumu sana Efm hata na yeye akichapa kazi ipasavyo atabaki hapo hapo.
 
Mimi siko kama wewe (sina zile tabia zako) no offense!
Bebe wa B12 namjua na nilishakutana nae 2018 NMB mwenge.

Acha kuzushia watu
Hawa wapuuzi wakishaokoteza taarifa za mitandaoni basi wanajikuta wanamjua mtu nje ndani
 
Mm sijui nimeumia sijui najisikiaje hata sijajielewa bado
 
Au ile kauli yake ya juzi kuhusu ile performance ya Diamond MTV base ndio imemponza.

Wanajiua wenyewe taratibu kwa vinyongo na beef zisizo na maana ,nimeona Majizzo kaposti kwenye page yake ya Instagram.
joseph1989 kwani na huko aruhusiwi kumtaja diamond?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…