Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu??
Maana dar kwenye unahisi nyumba ya kupanga mikocheni
 
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…