Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Nyumbani ,ni Nyumbani ata kukiwa kuzuri au kubaya ...By ....Dr Remmy...R.I.P.
 
Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu??
Maana dar kwenye unahisi nyumba ya kupanga mikocheniView attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364
Ni ushauri mzuri lakini hebu nasi tujiangalie.. Je yale tunayowashauri wengine sisi tukoje nayo?
 
Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi?

Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao!

Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.
 
Back
Top Bottom