Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi? Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao! Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.
Mmmmh.. ni wapi hapo nje ya nchi watu hawathamini kumiliki nyumba?

Tena nje ya nchi, watu ndo wanakuwaga na dream za ku own nyumba (real estate), sema shida ni kwamba kumiliki nyumba ni gharama sana ndo mana wengi wanaishia kupanga mpaka wanakufa.

Sioni kama ni akili kuwa na mihela mingi kwenye account halafu usiwe na nyumba, ni kukosa akili.. pesa hii hii ambayo ikitokea inflation inakuwa haina tofauti na makaratasi?

Mtu yoyote mwenye akili popote pale lazima uwaze kumiliki nyumba, at some point in your life... Hakuna ufahari wa kutokuwa na nyumba nzuri.

Refere basic needs
- Food
- Shelter (Housing)
- Cloth

Hivi ndo vitu vitakupa heshima duniani.. How you eat (become healthy), Where you live (Good House), what you wear (Good Clothes).. sijui kama umenisoma mkuu
 
housing ni kwa ajili ya watoto wako/familia yako..sio kujenga 'kijijini'...wakati una familia inakutegemea mjini...
 
Duuuh.... kweli nimeamini ni wachaga pekee ndo tunapenda nyumbani. Hii ni aibu aisee.

Hivi mtu kama Tale amekosa milioni 50 kuwa na nyumba ya heshima kijijini?
Sio moshi Tu hata wahaya wa bukoba wanajenga Sana vijijin kwao.

Instagram(1).jpeg
images%20(15).jpeg
images%20(13).jpeg
images%20(14).jpeg
images%20(2).jpeg
images%20(5).jpeg
 
Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi? Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao! Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.
Sasa una hela halafu unaishi kwenye nyumba isiyoendana na hela uliyonayo hiyo ni akili ujenge au upangishe inatakiwa ukae kwenye nyumba nzuri
 
Hao ni Wazee wa Show off usikute hana nyumba hata moja, Boss wake aliwai kuudanganya Umma kua ile Nyumba ni yake Wakati kapanga..
 
housing ni kwa ajili ya watoto wako/familia yako..sio kujenga 'kijijini'...wakati una familia inakutegemea mjini...
Nimekuelewa, ila kwa mtu ambaye ana uwezo wake mzuri kwanini ushindwe kujenga mjini na kijijini?

Hii ndo sababu inasababisha maendeleo pia yasienee kijijini maana watu hawaoneshi kujali umuhimu wa walipozaliwa
 
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri,hata kuweka curtains tu kumemshinda ?Kashindwa kuendeleza kwao ndo huyu anataka ubunge ????Au anataka ubunge ili anufaike ?Aibu hii.Maisha ya social media bwana........
Tangu lini fundi baiskeli akawa na hela ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanichekesha sana hapo madirishan yaan had kipande cha bendera ya CCM, afanyee akakarabati kwao,
Huyu boss kubwa hata pazia kashindwa kununua akaamua kuweka bendera ya ccm ?
 
Yanatimia ya vannessa mdee

Sasa Kama manager hapo ndo kwake/kwao/kwa wakwe .....Kwa msanii patakuwaje 😢😢
 
Back
Top Bottom