Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Dah! wabongo wakija kukufariji nyumbani uwe makini ni wachoraji balaa, Ila pia ni funzo mitandaoni na duniani ni vitu viwili tofauti, tuishi uhalisia bana, mbona simple tu jamani.
 
Huyu jamaa,si anamkwanja mrefu!inakuaje kijumba cha hovyo kama hiki?!
Mi nilitegemea nione bonge la jumba,la ghorofa,
 
...🏃🏃🏃..Dah!..hizi comments humu..
 
watu wanapenda sana Camera but ukiwaona nyuma ya camera so sad yaani
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
 
Utakuta hawa hata huko vijijini kwao hawaendi hadi yawafike,hii aibu sana kwa wanaume wa Dar,unaishi kifahari mjini kumbe kwenu wazazi wako wanaishi kilofa,hata pazia hakuna?
 
Mwache kwanza amalize msiba ndio uje kumsema hujui uchungu wa kufiwa na mke mkuu
Hapana hapo hapo hawakawii kusahau,mtu ukisemwa ukiwa na uchungu ndio siku au wakati mwingine utakumbuka.
 
Mkuu acha kudanganya huko nje sote tumeishi sana,kifupi ni kuwa nje wanaoweza kumiliki na kujenga nyumba ni matajiri asilimia kubwa wanaishi ''NHC''wengine huita nyumba za municipal na majina mengi,huko majuu ni matajiri tu ndio wanamiliki ardhi kwa hiyo sio kweli kuwa watu wa nje hawashobokei nyumba na ndio maana wakija huku kwenye nchi masikini wanaishi na kupanga nyumba zinazojitegemea ila wajinafasi tofauti na huko kwao.
 
Huyo ni muongo tu sijui nje ya nchi zipi, huko ni matajiri tu ndio wanamiliki majumba na ardhi mwenzangu mimi utaishia kwenye apartment mbovu za vyumba viwili kwenye ghorofa la watu 500.
 
Huyo ni muongo tu sijui nje ya nchi zipi, huko ni matajiri tu ndio wanamiliki majumba na ardhi mwenzangu mimi utaishia kwenye apartment mbovu za vyumba viwili kwenye ghorofa la watu 500.
Ni kweli mkuu, nchi kama marekani kumiliki nyumba si kitu kidogo, na wakati mwingine kama umechukua mkopo kwa ajili ya nyumba utakatwa karibia miaka 40 au 50 ndio deni liishe,
Maana ni hela kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…