DavidHard
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 436
- 284
Kufiwa ni code of human life..ila inapotokea ukataka msiba ufiche aibu zako hilo haliwezekani ndugu yanguMwenzenu amefiwa..aibu yenu kwa kuongea mbofu mbofu hata msiba haujaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufiwa ni code of human life..ila inapotokea ukataka msiba ufiche aibu zako hilo haliwezekani ndugu yanguMwenzenu amefiwa..aibu yenu kwa kuongea mbofu mbofu hata msiba haujaisha
Yupo kwenye matanga kwa sasaKwani yule innocent dependent amesemaje
Usanii on everything...Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Wapi huko kuna destur hio? mwanao alieolewa akipoteza uhai anakuja kuzikwa kwa kwako? HAKUNAHapo kwao au ukweni kwake? Nina hakika msiba ulikuwa ukweni kwake.
Unavuta bangi sio Siri,sasa ubunge ma maisha ya mtu wapi na wapi,au haujui maana ya ubunge..?Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Tatizo mnapenda show off,sasa kijijini ujenge ghorofa la Nini..?Duuuh.... kweli nimeamini ni wachaga pekee ndio tunapenda nyumbani. Hii ni aibu aisee.
Hivi mtu kama Tale amekosa milioni 50 kuwa na nyumba ya heshima kijijini?
Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu??
Maana dar kwenye unahisi nyumba ya kupanga mikocheniView attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364
Utaendaje ukweni na binti alishaolewa na anatumia jina la mume!!!Hapo kwao au ukweni kwake? Nina hakika msiba ulikuwa ukweni kwake.
Basi na kuzikwa wazikwe huko huko town wasirudishe wasiko kutengeneza.housing ni kwa ajili ya watoto wako/familia yako..sio kujenga 'kijijini'...wakati una familia inakutegemea mjini...
Hapo kwao au ukweni kwake? Nina hakika msiba ulikuwa ukweni kwake.
Ohoooo!!!Hapo unaweza kukuta kishawajengea vimada nyumba kibao!
Kweli KabisaNilivoona tu hivo vitambaa huko dirishani Nilishika mdomo!
Walishindwa kutanguliza watu watoke hata na cartens mjini wakaweke dirishani kweli?
Kwa hadhi ya Babu Tale hii ni Aibuuu!
Wanakaa kuongelea millions of money kwenye media mara shoo hii tumeingiza million kadhaa shoo hii tumeingiza million kadhaaa kumbe hakuna Anachofaidika!
Meneja wa dimond msanii anaeingiza pesa ndefu East Afrika Anashindwaje kujenga nyumbani, Alikua hajui kwamba siku likimkuta janga lazima watu watie timu kwao?
Hakujifunza kwenye misiba ya wenzake,.. hakuona walivotengeneza kwao
Ameshindwa hadi na masogange Alikua mdangaji tu lakini kwao Alipatengeneza!
Eti ndo Alikua Anashindana na Jasiri kibiashara!
Ndo maana jamaa aliamua kuachana nao Alishajua hawa ni watu wa maneno maneno tu na show off lakini hawana lolote!
Aisee maceleb wajifunze hii ni Aibu ya mwaka!
Yeye kajenga wapi?,kule Madale anakokaa mama yake?,Naye Chibu na mbwembwe zote hizo kapangaInaeza kuwa Diamond pekee ndio anamafanikio pale WCB