Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Unanikumbusha zamani wakati niko kijijini. Nilipokuwa naona watu wamevaa safi, nikuwa natamani sana. Siku hizi nina hela zangu, kuvaa naona ni kujisitiri tu. Siku ukipata $ zako wala hautakimbilia kujenga. Amini usiamini. $ is king. House is never king!
Mtu unaweka pesa bank,na kujenga nyumba nzuri unajenga.
 
Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi? Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao! Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.

Acha dharau na kudanganya watu, huko nje unakoishi wewe nyumba mnazopanga ni quality nzuri ambazo huku kwetu hakuna. Ni nyumba bora na saama.

Sisi tusiosoma sio kwamba tunashabikia nyumba, tunachoshabikia ni kuwa na nyumba bora na salama.

Tungekuwa na uwezo wa kupata nyumba bora, za bei za kumudu kama huko uliko, tungejenga kujifurahisha tu, na sio kama njia ya kutimiza hitaji muhimu la kuwa na makazi bora na salama.

Wewe unafikiri NHC au nayo mashirika ya serikali yanayopangisha wadosi na vigogo humu mujini kwa bei za kutupa, wangekuwa wanatupangisha na sisi nyumba zaao tungekuwa tunahangaika na mambo ya nyumba?
 
Fanya ikupendezavyo. Usicheke alichokifanya Babu Tale. Imempendeza kufanya alichofanya.
Acha dharau na kudanganya watu, huko nje unakoishi wewe nyumba mnazopanga ni quality nzuri ambazo huku kwetu hakuna. Ni nyumba bora na saama.
Sisi tusiosoma sio kwamba tunashabikia nyumba, tunachoshabikia ni kuwa na nyumba bora na salama.
Tungekuwa na uwezo wa kupata nyumba bora, za bei za kumudu kama huko uliko, tungejenga kujifurahisha tu, na sio kama njia ya kutimiza hitaji muhimu la kuwa na makazi bora na salama.

Wewe unafikiri NHC au nayo mashirika ya serikali yanayopangisha wadosi na vigogo humu mujini kwa bei za kutupa, wangekuwa wanatupangisha na sisi nyumba zaao tungekuwa tunahangaika na mambo ya nyumba?
 
Mkuu National House unawasingizia ,nyumba zao zipo ukitaka unapata,na bei ni affordable siyo sawa na nyumba za matajiri wengi,tena unalipa kodi kwa mwezi si kwa mara moja
Acha dharau na kudanganya watu, huko nje unakoishi wewe nyumba mnazopanga ni quality nzuri ambazo huku kwetu hakuna. Ni nyumba bora na saama.
Sisi tusiosoma sio kwamba tunashabikia nyumba, tunachoshabikia ni kuwa na nyumba bora na salama.
Tungekuwa na uwezo wa kupata nyumba bora, za bei za kumudu kama huko uliko, tungejenga kujifurahisha tu, na sio kama njia ya kutimiza hitaji muhimu la kuwa na makazi bora na salama.

Wewe unafikiri NHC au nayo mashirika ya serikali yanayopangisha wadosi na vigogo humu mujini kwa bei za kutupa, wangekuwa wanatupangisha na sisi nyumba zaao tungekuwa tunahangaika na mambo ya nyumba?
 
Dhaaaaa had aibu kwan hiz pesa wanapeleka wapi jaman

Yan umaarufu wote kwenu nyumba
Hata pazia hakuna
 
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Kama hata rangi imemshinda
Curtains kaamua kuweka khanga dhaaa
 
Yaani wewe katika msiba wote umeona nyumba ya akina babu tale tuu.
kutunishiana misuli HAKUITAJI UWE TAJIRI.
 
Wa bongo tena hamkosagi la kusema.
Mmekwenda msibani au kuangalia makazi ya watu?
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
 
Nilivoona tu hivo vitambaa huko dirishani Nilishika mdomo!
Walishindwa kutanguliza watu watoke hata na cartens mjini wakaweke dirishani kweli?

Kwa hadhi ya Babu Tale hii ni Aibuuu!

Wanakaa kuongelea millions of money kwenye media mara shoo hii tumeingiza million kadhaa shoo hii tumeingiza million kadhaaa kumbe hakuna Anachofaidika!

Meneja wa dimond msanii anaeingiza pesa ndefu East Afrika Anashindwaje kujenga nyumbani, Alikua hajui kwamba siku likimkuta janga lazima watu watie timu kwao?
Hakujifunza kwenye misiba ya wenzake,.. hakuona walivotengeneza kwao

Ameshindwa hadi na masogange Alikua mdangaji tu lakini kwao Alipatengeneza!

Eti ndo Alikua Anashindana na Jasiri kibiashara!
Ndo maana jamaa aliamua kuachana nao Alishajua hawa ni watu wa maneno maneno tu na show off lakini hawana lolote!

Aisee maceleb wajifunze hii ni Aibu ya mwaka!
 
Mwanamke akishaolewa anabadilishwa kila kitu mpaka majina mpaka kwao kuna change na ata akifa muamuzi wa mwisho kuamua azikwe wapi ni mumewe kwa Sisi wa tanga mke wangu atazikwa kwetu pakitokea msigano busara inaweza kutumika narudia ni busara tu ndio inaweza tumika akazikwe kwao ila kitaratibu za Kiimani lazima azikwe kwetu
Kama ni mwanamke wa uchagani sio kila kitu kinabadlika, usikariri kama nzi wa kijani
 
Hebu naomba ufafanue vizuri kuwa ulikuwa nje Nchi gani na ulikuwa unasomea nini? kwa sababu huo mtazamo wako unaonekana kama ni story za kijiweni na sio fact kutoka kwa Msomi
Kwa taarifa yako; hakuna msomi yeyote Duniani anajivunia kuwa na fedha bank pekee; labda mbumbu .... usidanganye watu
Watu hujivunia kuwa na Fixed Assets kama nyumba pamoja na uekezaji mkubwa kama wa mashamba, viwanda, biashara kubwa kubwa nk...... nafikiri umeona hapo sijataja magari.....
Mtu mwenye hela Bank kiuchumi huyo ni masikini mtarajiwa kwani muda wowote zinaweza kuisha akabia hana kitu....
Mkuu mtu kuwa na pesa bank halafu zinaweza kwisha una maana gani?yaani mtu mwenye discipline ya kuweka akiba huyo huyo awe mjinga pesa zake ziishe?.ni hivi watu wote wangekuwa na akili finyu ya kutoweka pesa bank hizo bank zisingekuwepo na hata hizo pesa za kununua assets zisingekuwepo..ingebaki system ya barter trade ya kubadilishana vitu...heshimu sana watu wenye kuweka pesa iwe bank au nyumbani maana ndio wanao-control uchumi wa hizo assets!
 
wengi mnaojenga kijijini, mnajenga ku maintain status ni kama pride Fulani, wala hakuna linguine linalowasukuma kufanya hivyo.. which is sad... pride wengine sio tu pride hawana bali pia sio priority....

Maendeleo kijijini tafuta kwa nini hamna.
Mostly Ni nyumbani Kwanza kwingine baadae.... ...haiwezekani nyumbani(kijijini) pawe pabovu..wazazi wanaishi kwenye Nyumba ya ajabu ajabu me Nina uwezo

Kwa asilimia kubwa ya wachaga Ni big no
 
Sir_Mimi,
Mkuu wewe unaishi kijijini au mjini? maana ni sahihi kuinvest kuishi vizuri sehemu unayoishi muda mrefu..ni ujinga pia kupoteza pesa nyingi kama kipato chako ni cha kawaida kwenda kuinvest makazi sehemu usiyoishi muda mrefu na hii ndio dhana ya umaskini ilipojikita.
 
Naona watu wamecharuka sana kwa kila namna.

Mnajua kuwa kuna wazazi wanawakataza watoto wao wasiwajengee na hata kutengeneza chochote kwenye sehemu wanazoishi au hamjui hilo?
Basi kuna wazazi ndani maji hamna anakwambia wacha hivi hivi, hii ninayokwambieni ni ukweli kabisa, wao wanachotaka uwape hela yao cash waendeleze mashamba yao, na shughuli zao.

Hivi nyie mnaowasifia kujenga kwao, bora lipi kuwaangalia wazazi wako kwa kila siku kuhakikisha wanataka kile wanachotaka au kuwajengea tuu basi hiyo ndio imetoka.

Jamani inawezekana jamaa waliwaambiwa wazee wake kuhusu jengo lakini wazee wakakataa, wakataka kukae hivyo hivyo, au inawezekana hana uwezo huo wa kujenga?

Hapo wote mliochangia na kusema saaana , inawezekana wengi katika hapo hakuna alijenga kwao, kwanza kaanza kujijengea mwenyewe na kuanza kujiweka sawa kimaisha na vipi watoto wake itakuwaje.

Jambo la kujenga huwepo akilini tuu nitafanya nitafanya nitafanya, lakini wengi hamna alofanaya.

Pia sio vizuri jamani kusemanakusemana kila mtu ajiangalie mapungufu yake.
 
Back
Top Bottom